Askofu Shoo siyo Mfuasi wa Martin Luther!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Martin Luther Mwanamapinduzi na mwanzilishi wa Uprotestanti Duniani angemkataa Askofu Shoo, Martini Luther alikuwa mtetezi wa Wanyonge na ndicho kilichomfanya alipe changamoto Kanisa Katoliki, Martin Luther hakuwa wakala wa Mafisadi kwanza ni kinyume chake, hivyo Askofu Shoo na KKKT hamumwakilishi Martin Luther kwani mnamtumikia Binadamu bwanyenye, jambo ambalo Martin Kuther alitumia muda wake na Maisha yake yote kulipinga.

Tunaitaka KKKT yetu, na Askofu Shoo unaweza kwenda, ...
 
Martin Luther Mwanamapinduzi na mwanazilishi wa Uprotestanti Duniani angemkataa Askofu Shoo, Martini Luther alikuwa mtetezi wa Wanyonge na ndicho kilichomfanya alipe changamoto Kanisa Katoliki, Martin Luther hakuwa wakala wa Mafisadi kwanza ni kinyume chake, hivyo Askofu Shoo na KKKT hamumwakilishi Martin Luther kwani mnamtumikia Binadamu bwanyenye, jambo ambalo Martin Kuther alitumia muda wake na Maisha yake yote kulipinga.

Askofu shoo ni mfuasi wa yesu na sii mfuasi wa wasaliti kama alivyokuwa marthin luther na sasa malasusa
 
Lini Martin Luther alianzisha U-Protestant? Ungesema U-Protestant ulianzishwa na The Gideons hapo ningekuelewa.
by the way kamwambieni Dr. Malasua well done kwa kuwa manipulated na zero Bashite
 
Askofu shoo ni mfuasi wa yesu na sii mfuasi wa wasaliti kama alivyokuwa marthin luther na sasa malasusa

Bila Martini Luther kusingekuwa na Uprotestanti, inaelekea hata Ukristo wenyewe hauelewi vinginevyo usingeandika ulivyoandika!
 
Lini Martin Luther King alianzisha U-Protestant? Ungesema U-Protestant ulianzishwa na The Gideons hapo ningekuelewa.
by the way kamwambieni Dr. Malasua well done kwa kuwa manipulated na zero Bashite

Mwingine huyu hata Ukristo hauelewi na ndo maana mnaburuzwa kama gari bovu, wewe ukisikia Martini Luther unawaza yule mchumia tumbo wa Kimarekani?

Martini Luther mwenyewe aliishi miaka ya 1500 huko, na ndiye Mwanzilishi wa Uprotestanti Duniani, thesis yake ndiye iliyoleta Mapinduzi makubwa Duniani hali iliyopelekea uprotestanti kuanzishwa!
 
Martin Luther Mwanamapinduzi na mwanazilishi wa Uprotestanti Duniani angemkataa Askofu Shoo, Martini Luther alikuwa mtetezi wa Wanyonge na ndicho kilichomfanya alipe changamoto Kanisa Katoliki, Martin Luther hakuwa wakala wa Mafisadi kwanza ni kinyume chake, hivyo Askofu Shoo na KKKT hamumwakilishi Martin Luther kwani mnamtumikia Binadamu bwanyenye, jambo ambalo Martin Kuther alitumia muda wake na Maisha yake yote kulipinga.

Tunaitaka KKKT yetu, na Askofu Shoo unaweza kwenda, ...
Unamzungumzia Askofu Shoo au Msaliti Malasusa?
 
Bila Martini Luther kusingekuwa na Uprotestanti, inaelekea hata Ukristo wenyewe hauelewi vinginevyo usingeandika ulivyoandika!

Sasa ndo shoo amuabudu luther badala ya YESU KRISTO aliye mwokozi wetu,acha wehu dini zinamwabudu mungu na sii aliyeasi wengine, hakuna sehemu ktk bibilia inapomtaja luther
 
Martin Luther Mwanamapinduzi na mwanazilishi wa Uprotestanti Duniani angemkataa Askofu Shoo, Martini Luther alikuwa mtetezi wa Wanyonge na ndicho kilichomfanya alipe changamoto Kanisa Katoliki, Martin Luther hakuwa wakala wa Mafisadi kwanza ni kinyume chake, hivyo Askofu Shoo na KKKT hamumwakilishi Martin Luther kwani mnamtumikia Binadamu bwanyenye, jambo ambalo Martin Kuther alitumia muda wake na Maisha yake yote kulipinga.

Tunaitaka KKKT yetu, na Askofu Shoo unaweza kwenda, ...
Wewe Mgalatia ni Nani aliye kuroga?
 
Mwingine huyu hata Ukristo hauelewi na ndo maana mnaburuzwa kama gari bovu, wewe ukisikia Martini Luther unawaza yule mchumia tumbo wa Kimarekani?

Martini Luther mwenyewe aliishi miaka ya 1500 huko, na ndiye Mwanzilishi wa Uprotestanti Duniani, thesis yake ndiye iliyoleta Mapinduzi makubwa Duniani hali iliyopelekea uprotestanti kuanzishwa!

Sasa aliyeanzisha uprotestant ndo aabudiwe?
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Mwingine huyu hata Ukristo hauelewi na ndo maana mnaburuzwa kama gari bovu, wewe ukisikia Martini Luther unawaza yule mchumia tumbo wa Kimarekani?

Martini Luther mwenyewe aliishi miaka ya 1500 huko, na ndiye Mwanzilishi wa Uprotestanti Duniani, thesis yake ndiye iliyoleta Mapinduzi makubwa Duniani hali iliyopelekea uprotestanti kuanzishwa!
Huyo Mmarekani wako anaitwa Martin Luther King Junior, mimi namuongelea Martin Luther.
 
Mwingine huyu hata Ukristo hauelewi na ndo maana mnaburuzwa kama gari bovu, wewe ukisikia Martini Luther unawaza yule mchumia tumbo wa Kimarekani?

Martini Luther mwenyewe aliishi miaka ya 1500 huko, na ndiye Mwanzilishi wa Uprotestanti Duniani, thesis yake ndiye iliyoleta Mapinduzi makubwa Duniani hali iliyopelekea uprotestanti kuanzishwa!
Wew unajulikana ni agent wa shetani....Hvyo ni lazima uunge mkono upande wa shetani kama ulivyokua unashangilia TUNDU LISSU alivyopigwa risasi.We pepo tokaaaaaa!!!
 
Acha upunguani wewe. Huyo Mmarekani wako anaitwa Martin Luther King Junior, mimi namuongelea Martin Luther King.

Martin Luther alikuwa Mjerumani sasa hiyo King inatokea wapi? Kati ya wewe na mimi ni nani punguani? Hizi Dini hivi mnazielewa au mnafwata upepo tu?
 
Endelea kupovuka, ukimaliza rudi kwenye hoja halafu urekebishe kwamba Martin Luther siyo aliyeanzisha U-Protestant bali ni The Gideons
 
Ndugu hauelewi unachokiongelea, labda nikuulize kwanza labda unaelewa ni kwanini linaitwa Kanisa na Ki-luther- i? Tuanzie hapo isije kuwa na tunapoteza muda wjt vitu vya msingi hauvielewi!
 
Martin Luther alikuwa Mjerumani sasa hiyo King inatokea wapi? Kati ya wewe na mimi ni nani punguani? Hizi Dini hivi mnazielewa au mnafwata upepo tu?
King junior alikuwa mmarekani aliepinga ubaguzi wa rangi na mtu alieanzisha movement za mtu mweusi kujikomboa na ubaguz
 
Lkn hakuwa na wala hana uhusiano wowote uke na Martin Luther asilia mwanzilishi wa Uprotestanti Duniani!
 
Huu utetezi wenu wa Malasusa unazidi kumharibia. Mnakataza Kanisa kufanya siasa kisha nyiye wenyewe mnaingiza siasa Kanisani.
 
Back
Top Bottom