Askofu Malasusa na kura za KKKT!

Askofu Malasusa na kura za KKKT!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.

Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!

Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
 
wewe fisadi unayepata fungu kila siku ili kueneza uzushi,

Tulia dawa ikuingie, maana nimeona unahofia 2020 boss wako akishindwa utakosa pa kujipatia riziki anbazo ni kodi zetu.
 
Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.

Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!

Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...

Ujinga at best perfomance
 
Ulivyosema diosisi yake ni ya watu wazito, nikajua huko ndio kunapungua sadaka zilizosemwa na malaika na ndio kwenye mafisadi wazito!
 
Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.

Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!

Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
Mkuu unaporomoka vibaya sana, sasa hivi uko kwenye level ya akina Musiba na Muro, sijui umepatwa na nini!!!
 
Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.

Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!

Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
Kaka mm sio shabiki wa upande wowote ila ulichoandika leo ni utumbo na kudhihirisha ukilaza wako
 
Upuuzi kama huu Mods mnauachaje? Futilia mbali, mnashusha hadhi ya jukwaa.
 
Huna lingine unawaza zaidi ya kura tuu? Haki ya nani wewe in kilaza kweli
 
Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.

Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!

Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
Acha uhuni wewe wanaowasingizia watumishi Wa mungu adhabu yao IPO,,na kwa taarifa yako malasusa in msemaji Wa lowasa
 
Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.

Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!

Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
Hovyooooo
 
Unataka kutuaminisha kuwa mafisadi wapo cdm ccm hawapo?
 
hii dhana ya ukabila na ukanda mlioianzisha CCM itawatafuna
 
Ni kweli CCM tumebanwa,na sisi tuliokuwa watetezi wa JPM tumebanwa sana kwenye kona,lakini si kwa kiwango cha kuandika upupu kama huu

Kuna mambo mzee anatakiwa kubadilika,na akibadilika hatutafika huku tunakotaka kwenda,nafikiri awe tayari tu kushaurika
 
Huwezi amini haya mawazo wanapewa na watu wajuu chamani. Hebu fikiri thinking hii ndio inaongoza nchi!! Pathetic!!
 
Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.

Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!

Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
Huyu nae ni graduate! Hana tofauti na yule boss wake aliyekuwa anafanya presentation namna ya kukokotoa 1.5T iliyoibuka kwenye taarifa ya CAG
 
Ukiangalia takwimu zao wanakwambia wana Waumini milioni 6 hivyo kama wakifanikiwa kuwashawishi wote kumpingia kura Fisadi Lowasa na Mafisadi ya chadema ina maana wanaweza kinadharia kufikisha tena kura milioni 6, na hapo ndipo Askofu wa Mungu Malalusa anapoingia, ndo maana wanampiga vita na kumchukia kwani amekataa kuwa agent wa Mafisadi na kizuri zaidi Dayosisi yake ndo yenye watu wanene, hapo sasa.

Kwa hiyo mwisho wa siku itabakia kuwa KLM ndiyo watakaompigia kura Lowasa ns chadema lkn TZ yote watawakataa chadema na Siasa zao za Kibaguzi, lkn KLM hawana namba na Arusha tayari wameanza kurudi CCM hivyo ni pigo lingine kwa Mafisafi!

Ningeshauri Askofu wa Mungu Malalusa apewe ulinzi na Serikali yetu, ...
Haya maajabu yana patikana Lumumba pekee. Pamoja na kuwa Malasusa ni Askofu wa Mungu, (Sio KKT wala waumini) lakini huyohuyo Mungu hawezi kumlinda bali Serikali ndio imlinde! !! Je hapa ni askofu wa Mungu au wa Serikali?? Na kumbe ni askofu wa Mungu wa Lumumba ambaye wote tunamjua nawe unamjua anaishi Magogo. Ndio maana anatakiwa kulindwa na serikali ya Mungu huyo. Lakini usichojua ni kuwa huwezi lazimisha sisi waumini wa DMP kuishi kwa matakwa yenu na Maslahi yenu. Ni kweli sana kuwa waumini wa DMP tunajitambua na soon tutamtimua kama asipojitathimin mwandalieni ofisi hapo Lumumba
 
Back
Top Bottom