Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nun raped me and had my baby - The torment of a schoolboy victim | UK | News Paul Jeeves Edward Hayes wanted to lift the lid on sex abuse by nuns He wanted to speak out over the Easter weekend to...
0 Reactions
1 Replies
636 Views
Kumbe interview kazini ina maana kweli hapa ndo nimejua umuhimu. Yani hata jina la Messi kashindwa kulitaja.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mwenye sababu ya kwa nini hawajiungi ktk sekta hizo aorodheshe hapa. Nawasilisha
0 Reactions
64 Replies
5K Views
jarida la sani 1.madenge 2.kifumbo cheza 3.madenge 4.pimbi 5.sokomoko 6.ndumilakuwili 7.zena na betina(ongezea na wewe) jarida la bongo 1.kiokote 2.bob mikwara 3.chepe 4.jua kali 5.mapung'o...
4 Reactions
69 Replies
22K Views
Habarini ndugu zangu, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nimekwama ada kias cha laki mbili, nipo dar, naomba kwa yeyote anikopeshe kwa dhamana ya cheti changu cha Form 6.Nitamrudishia muda...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Mvua zinazoendelea kunyesha zimeharibu miundombinu ya barabara ya Kangaye-Mecco wilayani Nyamagana pamoja na kukata mawasiliano ya Daraja kati ya Buhongwa Jijini Mwanza na Kijiji cha Mwasonge...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa sasa nipo mjini tabora ambapo kabila kubwa la hapa ni mnyamwezi ila ndani ya mnyamwezi kuna watu wanaoitwa watusi . Lakini pia inasemekana asili ya mnyamwezi ametokea ndani ya mtusi yaani...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
KUTOKA KWA:MSANII JOTO LA MOTO. Arusha ni jiji letu,jiji lenye kusifika. Jiji lenye wema watu,karibu uweze fika. Hatufugi wale chatu, mbugani twakupeleka. Arusha ni jiji letu, njoo mfurahi nasi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, linamshikilia mfanyabiashara wa samaki mkazi wa mtaa wa Mahakama wilayani Ilemela, Nicholas Light (25) kwa kosa la kumuua mpenzi wake, Victoria Swai (26) kwa...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
WANANCHI 15 wakazi wa Kijiji cha Gebailumbwa wilayani Longido, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya hiyo wakikabiliwa na makosa matatu likiwemo la kutokuwa na vyoo na kusababisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hakika inasikitisha sana kuwa WATUMISHI WASTAAFU wakicheleweshewa Mafao yao na mifuko ya hifadhi ya jamii.Kama mtumishi aliweza kuchangia michango yake kwa uaminifu mkubwa iweje Leo acheleweshewe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Elimu bure ni jambo jema kwa kila mwenye akili timamu. Pamoja na changamoto mbalimbali za sera hii, zipo changamoto za makusudi na za kukosa umakini zinazoigharimu sera ya elimu bure hususani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakika tulikosea kama taifa tuna nafasi ya kujisahihisha na kutorudia kosa kubwa hivi kuna mambo ya kukosea na yasilete IMPACT kubwa inayoumiza jamii sio hili beber shall this bê repeated again...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mtaftaji: Michael Patrick Wasikwe Anayetafutwa: Daniel Albinus Magige. Hello Kuna kijana ametokea Uganda, jina lake Michael Patrick Wasikwe amekuja kumtafta baba yake anayejulikana kwa jina la...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Kuna haja ya kuwa na mitumbwi sasa
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Namaste..... Wakuu Leo nilikuwa nacheki Series ya Colony season 3 na episode 1 ya tarehe 3 may 2018 ...jamaa alikuwa anachota maji kwa style ile ya kufunga ndoo mbili na mti katikati afu unaweka...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanajamvi pamoja na tamko zuri lililotolewa bungeni hususani kuwarudisha kazini watumishi darasa LA saba. Watumishi hao bado wanahaha hasa wale wa mashirika ya umma. Maafisa utumishi wakidai eti...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Vilio Vyatanda Kuagwa Kwa Mwili Wa Mtoto Aliyechomwa Kisu Na Dada Yake na Kufichwa Uvunguni Mtotro Joshua Michael (2) aliyeuawa na dada yake Delta Kalambo (19) kwa kuchomwa kisu kwenye kitovu na...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndugu zangu leo naomba tushare mambo kadhaa ya kimaisha hasa hali ya mtaani ilivyosimamia kucha. Pesa hazionekani na gharama za maisha zinapanda kila kukicha huku fursa za kupata pesa zikiwa adimu...
5 Reactions
18 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…