Kwanini mifuko ya hifadhi ya jamii inachelewesha mafao ya wastaafu?

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Hakika inasikitisha sana kuwa WATUMISHI WASTAAFU wakicheleweshewa Mafao yao na mifuko ya hifadhi ya jamii.Kama mtumishi aliweza kuchangia michango yake kwa uaminifu mkubwa iweje Leo acheleweshewe Mafao yako? Wastaafu hao hawana kipato kingine zaidi ya Mafao yao hivyo ni vema Mifuko hiyo ikawalipa mapema badala ya kuwasumbua.
 
Wengi washakufa Kwa mawazo...ngoja tuweke mambo sawa,mtalipwa tu msijali.
 
Back
Top Bottom