Colony S03E01 Wataja Masai tribe wa Serengeti ila bila kusema Serengeti in Tanzania

master09

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
763
Points
500

master09

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2013
763 500
Namaste.....

Wakuu Leo nilikuwa nacheki Series ya Colony season 3 na episode 1 ya tarehe 3 may 2018 ...jamaa alikuwa anachota maji kwa style ile ya kufunga ndoo mbili na mti katikati afu unaweka begani ....jamaa alisema "I Feel like a Masai tribeswoman" !!
..... mwanamke (sarah wa prison break) akajibu " Good !! .... Those women walk 40 miles across the Serengeti for water without complaning"

Nilichoona:-
1. Mwanamke wa kimasai au wa kitanzania kwa sababu ya Serengeti wako strong kwakutembea 40 miles kwaajiri ya maji.

2.Ningependa kama angetaja ile mbuga ya wanyama na nchi ilipo as (Serengeti in Tanzania )

20180504_033213.jpg
20180504_033231.jpg
 
astig

Senior Member
Joined
Jul 8, 2017
Messages
190
Points
250

astig

Senior Member
Joined Jul 8, 2017
190 250
Nadhani amekwepa kuifanyia promo ya bure hiyo mbuga. Wazungu wanajali sana biashara. Sio kama sisi unakuta umevaa tshirt ya matangazo mfano tshirt yenye tangazo la sigara au kampuni ya simu bure kabisa unawatangazia wengine na wanapata faida kupitia wewe. Ndio maana kwenye movie wanaedit hata scene zinazoonyesha matangazo mbalimbali. Ukiona tangazo ujue limelipiwa mfano unakuta star kasimama kwenye bango fulani au kavaa jeans au saa fulani yenye nembo kabisa.
 
XaviMessIniesta

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Messages
2,085
Points
2,000

XaviMessIniesta

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2017
2,085 2,000
Nadhani amekwepa kuifanyia promo ya bure hiyo mbuga. Wazungu wanajali sana biashara. Sio kama sisi unakuta umevaa tshirt ya matangazo mfano tshirt yenye tangazo la sigara au kampuni ya simu bure kabisa unawatangazia wengine na wanapata faida kupitia wewe. Ndio maana kwenye movie wanaedit hata scene zinazoonyesha matangazo mbalimbali. Ukiona tangazo ujue limelipiwa mfano unakuta star kasimama kwenye bango fulani au kavaa jeans au saa fulani yenye nembo kabisa.
Hahaah unashangaa Bongo muvi wanakaa baa kwenye vile vya cocacola au Pepsi wanaagiza na soda wanakunywa
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
5,672
Points
2,000

elvischirwa

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
5,672 2,000
Namaste.....

Wakuu Leo nilikuwa nacheki Series ya Colony season 3 na episode 1 ya tarehe 3 may 2018 ...jamaa alikuwa anachota maji kwa style ile ya kufunga ndoo mbili na mti katikati afu unaweka begani ....jamaa alisema "I Feel like a Masai tribeswoman" !!
..... mwanamke (sarah wa prison break) akajibu " Good !! .... Those women walk 40 miles across the Serengeti for water without complaning"

Nilichoona:-
1. Mwanamke wa kimasai au wa kitanzania kwa sababu ya Serengeti wako strong kwakutembea 40 miles kwaajiri ya maji.

2.Ningependa kama angetaja ile mbuga ya wanyama na nchi ilipo as (Serengeti in Tanzania )

View attachment 765231 View attachment 765232
Theme yake ni ya mwaka gani? Wakati wa Tananyika au Tanzania na je, inaanzaje mwanzo yaani introduction episode ya kwanza? Usidai Tanzania wakati ilkuwa Tanganyika.
 
mkulungu mkuyengo

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2015
Messages
771
Points
1,000

mkulungu mkuyengo

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2015
771 1,000
Namaste.....

Wakuu Leo nilikuwa nacheki Series ya Colony season 3 na episode 1 ya tarehe 3 may 2018 ...jamaa alikuwa anachota maji kwa style ile ya kufunga ndoo mbili na mti katikati afu unaweka begani ....jamaa alisema "I Feel like a Masai tribeswoman" !!
..... mwanamke (sarah wa prison break) akajibu " Good !! .... Those women walk 40 miles across the Serengeti for water without complaning"

Nilichoona:-
1. Mwanamke wa kimasai au wa kitanzania kwa sababu ya Serengeti wako strong kwakutembea 40 miles kwaajiri ya maji.

2.Ningependa kama angetaja ile mbuga ya wanyama na nchi ilipo as (Serengeti in Tanzania )

View attachment 765231 View attachment 765232
kuwa masai sio lazima kuwa mtanzania kuna wamasai wa Kenya kwa mfano ila kwa hoja yako zingatia tu kwamba wametaja hilo jina Serengeti.
 
MGILEADI

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,627
Points
2,000

MGILEADI

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,627 2,000
Ivi kwani duniani kuna serengeti ngap
Wanajua Serrngeti ipo Tanzania. Nikuwa mji mmoja nchi moja nje ya Tanzania mvali tu. Niko sokoni nanunua "Souvenir". Nikaulizwa unatoka wapi nikasema: "Tanzania". Yule mtu akajibu; "Ooh! Serengeti! Serengeti!" Nikamuuliza "umefika?" Akajibu: "Hapana! Tunaona kwenye Video na TV. Pazuri sana!" Wanafahamu. Janja ya majirani zetu kuhodhi tunu zetu haijafanikiwa.
 
Forum statistics

Threads 1,381,187
Members 525,998
Posts 33,791,704
Top