Hii ni aibu kwa Taifa na sera ya elimu bure

Hii ni aibu kwa Taifa na sera ya elimu bure

Pweza Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Posts
1,397
Reaction score
3,185
Elimu bure ni jambo jema kwa kila mwenye akili timamu. Pamoja na changamoto mbalimbali za sera hii, zipo changamoto za makusudi na za kukosa umakini zinazoigharimu sera ya elimu bure hususani uchelewaji wa pesa yenyewe achilia mbali miundombinu mibovu.

Kuna vitabu vinagawiwa na Serikali katika shule zetu za msingi, kama Serikali ndio imegawa au kusambaza vitabu hivi kwa watoto wetu ni hatari. kama Serikali haihusiki na hili sakata kwanini iruhusu vitabu feki kuwepo mtaani wakati mchele feki wa plastiki?

Nakikumbuka sana kile kitabu kilichosema "
DODOMA IS THE BIG CITY OF TANZANIA" badala ya "CAPITAL CITY"... hakika YAJAYO YANAFURAHISHA
 
umeongea jambo la msingi sana mkuu hongera maana wenzetu wengne kukcha wanawaza kupost mapenzi
 
kitabu feki! hatari sana hii huo sasa ni uhaini
 
Elimu imeshakuwa biashara huria. Wasomi wanaamua kuingia ktk biashara za vitabu, vitini bila vibali alafu kwa bei nafuu tu. Lengo wapate Pesa bila kujali madhara.
 
Back
Top Bottom