Wasalaamu,
Binafisi ninawajua hawa jamaa wanaojiita SIMON GROUPS, ambao ndo walishinda hii tenda ya kuendesha mradi wa magari yaendayo haraka.
Lakini historia iko wazi huyu jamaa SIMON KISEMA...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere, amewataka wafanyakazi wa TRA kutowakadiria wafanyabiashara viwango vya kodi wakiwa ofsini badala yake wafike katika biashara...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda, amewataka wanaohoji fedha za Serikali zinakwenda wapi wamtafute yeye au wafike Ofisini kwake ili aweze kuwaonyesha fedha hizo zinapokwenda na...
watanzania wengi hasa wafanyabiasha hawapendi kulipa kodi tofauti na mataifa mengine.sijui tatizo ni nini.lakini ni kukosa uzalendo.nchi hii kwa asilimia kubwa inaendeshwa na wafanyakazi...
Habari za asubuhi. Jana jioni Mwanzafunzi wa Chuo Kikuu cha KCMC James Keffa alizama baharini eneo karibu na Sea Side. Hadi sasa hajapatikana. Juhudi za Kumtafuta bado zinaendelea.
Dkt. JUMA...
Wajameni nawasalim kwa jina la muumba, Jana tarehe 10/5/2018 ulifanyika usaili WA watendaji wa vijiji daraja la ii cha kushangaza ni kwamba mchujo umefanyika huku kukiwa na tetesi kwamba kujuana...
Moja kati ya vitu contraversal hapa duniani ni mjadala wa mtu kuishi kwa aman na furaha all the time, lakini hoja inaibuka tu pale baadhi ya watu hususani wa pande hizi mbili wanapoamini wenzao...
Wanabodi niwasalimie kwa heshima zote.
Teknolojia inakuwa na inazidi kurahisisha michakato yetu ya kimaisha ya kila siku. Na kama ilivo kawaida, kila kitu kizuri hakikosi kasoro.
Juzi kati...
Habari wanajamvi,
Bila shaka mpo vizuri.
Niende moja kwa moja kwenye maada
Mwaka 2015 August,wizara ya afya ilitangaza kozi mpya "Community health"
Ambapo waombaji walilazimika kuwa na alama...
kumetokea sintofahamu juu ya nani hasa wanapaswa kwenda shule ya msingi kwa waalimu wa sekondari hasa baada ya serikali kutoa tamko jingine jana bungeni kuwa watakaoenda huko ni wale ambao...
Kila mtu anafahamu kwamba hivi sasa tupo katika kipindi cha industrialization.Hivi sasa ni mwaka wa tatu tangu ianze hiyo policy.
Wale wote waliopata nafasi ya kuajiri kwenye viwanda vipya...
Pesa ni rafiki yangu sana, watu wengi hunipenda sana
Ninapokuwa na fedha nahisi kama napaa, inanifanya nisahau njaa.
Lakini ninapokosa pesa, marafiki huondoka , huwa mpweke.
Wengine hunichukia...
Habari za muda huu wakuu wa Jukwaa,
Kwanza awali ya yote ningependa kumshukuru Mungu muumba wa ulimwengu na vilivyomo,
Kuna tukio ambalo nimekutana nalo, tukio hili limenitokea nikiwa niko...
Njama/hujuma mbalimbali kwa taifa, zinaweza kuangamiza nchi sawa na ramli chonganishi.
Na mara nyingi hutokana na mapandikizi (watu) ya muda mrefu (kulingana na mikakati iliyokusudiwa)...
Jiji la Dar ni jiji ambalo kila mtu ambaye yuko mikoani anandoto yakuja kuliona nakujua liko vipi.
Sasa nawaasa wadau kuwa hili jiji sahivi nigumu sana endapo ukija huku unaweza kumezwa na jiji...
Wakuu,
Hizi bank zimekumbwa na nini? Mbona kila nikienda bank nakuta wanauchapa usingizi?
Yani najikuta niko peke yangu, yani bank kama ya Nmb zamani ulikuwa hupati pa kusimama.