Kwanini Serikali iliwapa matapeli huu mradi wa UDART?

Kwanini Serikali iliwapa matapeli huu mradi wa UDART?

TUTU wa Jijia

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2016
Posts
726
Reaction score
567
Wasalaamu,

Binafisi ninawajua hawa jamaa wanaojiita SIMON GROUPS, ambao ndo walishinda hii tenda ya kuendesha mradi wa magari yaendayo haraka.

Lakini historia iko wazi huyu jamaa SIMON KISEMA, ambaye ndo mkurugenzi wa hii kampuni anafahamika, aliawahi kupewa Gineries za malampaka huko maswa, aliiendesha kwa mda mfupi sana zikamshinda na mpaka leo kiwanda kimebaki magofu.

Pia kama sikosei mwanza alikuwa na kiwanda cha mafuta nacho kilifia mikononi mwake, mwaka 2006 alijenga kiwanda cha kusindika pamba nacho kilikufa kibudu, na baadae akakimbilia DAR.

Ukienda nyumbani kwake watu wengi wanalalamika kawazulumu, C point yangu ni vigezo gani vilitumika kumkabidhi huu mradi wa mabilion ambao unatumiwa na mamilion ya watu, kama alishindwa kuhudumia watu wachache huu mradi atawezaje.

Mimi sina tatizo sana na yeye kupewa tenda lakini kinacho udhi ni huduma mbovu ,magari hamuna watu wanalalamika kila siku lakini wafanyakaz wake hawajari, tunataka Serikali igawe huo mradi hata kwa watu wengine labda inaweza kuongeza tija.

Ukiwauliza saa hivi wanasma magari yameingia maji, sasa unajiuliza hawa watu wako sawsawa, mvua zinanyesha kila siku utaanzaje kupark magari pale ambapo kila siku kuna jaa maji kwa nini wasitafte parking ya mda?.

Nitarudi
 
Kwani huyo jamaa ni kabila gani nasikia ni msukusu !!ova
 
Huyu Simon group kaprove failure but the good news serikali inaangalia mwekezaji mwingine kuleta ushindani
huyu mpuuzi sana wafanyakazi wote hawana elimu kaokoteza ndg zake fine,, lakini lazima uwepo ufanisi
 
Mradi ulikuwa huajaanza bali ulikuwa kwenye majaribio...............
 
Huyu Simon group kaprove failure but the good news serikali inaangalia mwekezaji mwingine kuleta ushindani
Watz huwa tunajiangusha wenyewe,sijui shida nn jambo serikali yetu ujitahidi sana kuonyesha uzalendo kwa kutubeba kwenye miradi mingi dhidi ya washindani wa nje kila sehemu tunaboronga ukilinganisha na wa nje check hata TBA nk,sehemu nyingi tunashindwa.Naona wapewe tu hao wa nje tuone ufanisi wao nao,sasa kama udart wamepewe kila kitu na wameshindwa kujiongeza hata kukarabati miundombinu kuna washinda check hata vinguzo vidogo vimegongwa na gari baadhi ya sehemu vimelala kuviinua haigharimu hata elf tano,vituo vinafunguliwa upande mmoja inabidi urudi nyuma ukitaka kutoka, hawana fleet management mfano kujua midaa hii tuweke nguvu kwenda uelekeo upi abiria wanaelekea,jangwani hakufai wakati wa kiangazi wana acha mabus yanaharibika na maji hata kuyatoa tu wakayalaze vituoni hawawezi, hakuna motisha kwa staff wao,mabus kujaza kupita kiasi nk.Wapewe wenye kuweza kuendesha mradi.
 
leo asubuhi pale kimara terminal ilikuwa ni balaa, kukata ticket nusu saa, kupanga foleni ya kuingia ni dakika 15, kusubiri mwendo pole dakika 45, kufika kariakoo saa 1 halafu jumlisha hayo masaa. sasa huwa najiuliza hivi tunasuburi mpaka Magu afanye ziara ya ghafla halafu atoe tamko kali? kwani viongozi husika hawapo? waje kujionea wenyewe, mkuu wa mkoa yupo---waziri husika yupo--mkuu wa wilaya yupo--EWURA wapo. ina maana wapowapo tuu au kuna ajenda binafsi??????? nashauri warudishe daladala kama zamani ili waongeze ushindani hata kama wanatafuta mbia mwingine, watu wanataka huduma siyo hizi sarakasi.
suala lingine pale vyoo wamefunga, sasa sijui kama watu wanaweza kukaa kwa saa 2 bila ya kuhitaji huduma ya choo. ukiangalia mazingira ya pale ni kwamba shughuli itaishia juu ya daraja (unaacha kimba la hatari).
 
Wasalaamu,

Binafisi ninawajua hawa jamaa wanaojiita SIMON GROUPS, ambao ndo walishinda hii tenda ya kuendesha mradi wa magari yaendayo haraka.

Lakini historia iko wazi huyu jamaa SIMON KISEMA, ambaye ndo mkurugenzi wa hii kampuni anafahamika, aliawahi kupewa Gineries za malampaka huko maswa, aliiendesha kwa mda mfupi sana zikamshinda na mpaka leo kiwanda kimebaki magofu.

Pia kama sikosei mwanza alikuwa na kiwanda cha mafuta nacho kilifia mikononi mwake, mwaka 2006 alijenga kiwanda cha kusindika pamba nacho kilikufa kibudu, na baadae akakimbilia DAR.

Ukienda nyumbani kwake watu wengi wanalalamika kawazulumu, C point yangu ni vigezo gani vilitumika kumkabidhi huu mradi wa mabilion ambao unatumiwa na mamilion ya watu, kama alishindwa kuhudumia watu wachache huu mradi atawezaje.

Mimi sina tatizo sana na yeye kupewa tenda lakini kinacho udhi ni huduma mbovu ,magari hamuna watu wanalalamika kila siku lakini wafanyakaz wake hawajari, tunataka Serikali igawe huo mradi hata kwa watu wengine labda inaweza kuongeza tija.

Ukiwauliza saa hivi wanasma magari yameingia maji, sasa unajiuliza hawa watu wako sawsawa, mvua zinanyesha kila siku utaanzaje kupark magari pale ambapo kila siku kuna jaa maji kwa nini wasitafte parking ya mda?.

Nitarudi
Hawa watakuwa vichaa, kila siku mvua ikinyesha pale panajaa maji, sasa mtu mwenye akili timamu ataendelea kulaza gari hapo?
 
Hawa watakuwa vichaa, kila siku mvua ikinyesha pale panajaa maji, sasa mtu mwenye akili timamu ataendelea kulaza gari hapo?
Walipokuwa wanajenga hayo ''mabarabara'' na kujitapa mchana kutwa kuna wengi walikuwa wanasema si chochote si lolote lakini wakaambiwa hawajui wasemacho... Wapiga debe walifikia hata kuweka story za watu wanaotoka nchi za nje kuja ''kujifunza'' juu ya mradi huu wa kipekee!
 
Kama vipi waruhusu Eicher ziingie kwenye mkeka. Kwanza zina honi kubwa. Zinachukua abiria wengi.
 
Ukiitwa Gasho utakataa?
Nadhani alimaanisha kwamba hao UDART walipewa kama majaribio maana kwa kumbukumbu zangu haikutangazwa tender yoyote ile. Nakumbuka walipewa wahudumie kwa miaka miwili kama sikosei. Sasa jamaa wameonesha failure ya kiwango cha juu sana, watolewe kabisa.
 
Sawa, mradi haujaanza bado,ulikuwa kwenye majaribio.
 
Back
Top Bottom