Maana ya "Third love"

Maana ya "Third love"

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,317
Reaction score
4,118
Huu msemo nasikia kweny nyimbo za akifa 2pac, Fa, Fid q na wengine. Mwenye kujua anijuze maana halisi ya hii Third love
 
Kampuni ya kimarekani ya kutengeneza nguo za kike za ndani.
 
Huu msemo nasikia kweny nyimbo za akifa 2pac, Fa, Fid q na wengine. Mwenye kujua anijuze maana halisi ya hii Third love
Sina hakika kama unachosikia ni "third love"
Itakua "thug love" ambayo maana yake ni "mapenzi ya watu wahuni au watu wa geto au watu wenye maisha magumu"
 
Back
Top Bottom