Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 335
Pesa ni rafiki yangu sana, watu wengi hunipenda sana
Ninapokuwa na fedha nahisi kama napaa, inanifanya nisahau njaa.
Lakini ninapokosa pesa, marafiki huondoka , huwa mpweke.
Wengine hunichukia, wasiopenda maendeleo yangu.
Hugeuka kuwa maadui kutoka kwenye urafiki,
wanahisi nimekuwa mtukufu, kumbe bado ni wa-kawaida.
Wanasahau tulipotoka kwenye shida na raha.
Pesa nakupenda sana lakini bado nakuchukia.
umenifanya nisahau familia, nimewatupa kama hawaja-nileya.
Walinihitaji sana, lakini ulinishawishi niwasahau.
Leo umeondoka na wao wamenipokea.
Nilimpenda sana mtu fulani zamani, nilikuwa siwezi ishi sina amani.
nilitumia hela nyingi sana, lakini sikuweza kubadilisha moyo wake.
Ndipo nilitamani kuwa maskini kwasababu alikuwa anachukia matajiri
Pesa ni rafiki gani wewe? mbona nimemkosa nimpendaye?
Nashangaa sana watu kupenda hela, wanakufa wanai-acha hapa-hapa.
Waliobaki wanatumia, wakati mimi ndie niliyetafuta.
Sidhani kama wewe ni mwema , bali wewe ni adui
Wanakuona rafiki kwasababu unawalaghai.