Simiyu: TRA yawaomba waliofunga biashara wazifungue

Simiyu: TRA yawaomba waliofunga biashara wazifungue

sky walker

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
1,160
Reaction score
834
Kama unaelewa vizuri hili swala sidhani kama utaacha ku comment hata neno moja.


Dc1LGJ_W4AEIEFI.jpg
 
Kujadiliana na mlipa kodi itakuwa ni kishawishi cha rushwa, hata akiwepo mtu wa TAKUKURU, kodi zipunguzwe tu
 
Halafu utakuja kushangaa humu wanatoa ripoti ya makusanyo kuwa imeongezeka!

Kwa biashara ipi ?
 
Namuomba Mungu anipe uzima na afya njema ili nije nione mwisho wa siku anapo tupeleka huyu mtawala
 
nimejadiliana nao eakaniruhusu nifungue biashara yangu na kunikapa muda wa miez 4 nianze kulipa deni taratibu!!! ikabidi nikope kuongezea mtaji ili biashara itudi kama mwanzo.
juzi ndani ya mwezi 1 wamekuja wanataka deni lao lote Nikawaambia nilikopa ili nitudishe biashara wanadai nawadanganya hela ninayo!
Nimeamu kufunga kabisa biashara!
 
wameona makusanyo ya kodi yanapungua kwa kukosa vyanzo
 
Wao si wababe?
Wawaambie msipofungua tunawafunga masaa 24
Biashara nyingi zinafungwa kwa kodi za lazima, wanaona kabisa mtu anapiga miayo siku nzima na wengine wameamua kukaa kwenye duka la jirani wapige soga na jioni warudi nyumbani
 
Me nafikiri mbali na kutotumia principals za taxation wanazofundishwa wafanyakazi wa TRA wanashindwa kwenda na nyakati kwa maana kwamba, hali ya kiuchumi imeyumba sana kwa Watanzania wote, means purchasing power imeshuka sana, sasa basi ni muda muhafaka TRA kuwa fair na kufanya negotiations na wafanyabiashara kusudi taifa lipate kodi, kwani mkiwa rigid hata ile kodi ndongo ilivyokuwa inapatikana itakosekana kabisa na uku mahitaji ya serikali yanaongezeka. Naomba kamishna wa TRA aliangalie hili swala kwa ukubwa zaidi,waache mihemko ya kiofic
 
Back
Top Bottom