Naweza kusema hii ni miongoni mwa Idara ambazo Rais Magufuli anastahili
Pongezi kwa jinsi alivyoweza kuinyoosha.
Kwa waliowahi kufuatilia passport au huduma yoyote pale Uhamiaji awamu
zilizopita...
Hawa watu sometimes wanapata burudani fulani ndani ya mioyo yao wanapopata nafasi ya kuweza kuchunguza mambo flani flani katika mazingira waliyomo na kuyafanyia kazi kwenye fikra then na...
Hivi tatizo huwa ni nini kwa maana sijawahi kuelewa yaani mtu akisikia tu fununu mahali kiwanda kinafungwa basi hukimbilia JF kwa furaha na vifijo kushangilia, hivi ni kwanini?
Na siyo kiwanda tu...
Kanisa katoliki huwa mapadre na maaskofu ni wajanja sana ni mfumo wao ni complicated huwezi kumfukuza padre au askofu kirahisi maana askofu hayuko answerable kwa papa bali analiwakilisha jimbo kwa...
Unaamka asubuhi,unawaza siku inaendaje,unajiweka safi na mazingira safi
Unaenda kazini,unafundisha asubuhi na mateso ya manyanyaso kazini mpaka jioni na huwez amini siku nyingine unashinda njaa...
Kumekuwepo kurushiana maneno kati ya hawa jamaa wawili wanaosemekama waliwahi kuwa watumishi wa kitengo,Lining'a 'Jeuri' na Evarist Chahali huko fb.Chahali anawatahadharisha watu wakae mbali na...
Mara baada ya kuanza kwa Mfungo wa mwezi wa Ramadhani kitengo cha kuwahudumia waathirika wa madawa ya kulevya katika Clinic ya Kidongo chekundu Zanzibar wamebadili ratiba ya kuwapatia dawa ya...
Nimejaribu kufikiri saana, bila majibu. Mpaka nataka kukubaliana kuwa Mkoloni alikuwa mtawala mwema saana.
Mkoloni alikuwa anajenga Kwao( Ughaibuni) na hapa akitumia mapato yao na yetu.lkn bado...
Habari wanaJF, kama heading inavyosomeka hapo juu, mimi ni kijana wa miaka 29, nimeajiriwa, kazi imenitenganisha na familia,( mzazi mmoja ambaye ni mama, maana baba alifariki kipindi nikiwa mdogo...
1. Matukio ya Ujambazi
2. Usumbufu kwa Mama ntilie, Wamachinga na Bodaboda
3. Vifo vya kizembe vilivyokuwa vikisabsbishwa na Mafuriko. kwa watu waliokuwa wakiishi Mabondeni
4. Ugonjwa wa...
Wakuu,
Hii sasa imeshakua kero.
Naomba tuwasaidie TCRA, tuorodheshe kwenye huu uzi namba zote zinazotumika na matapeli wa mitandao. Tukianzia na hawa wanaotuma message za hivi:
0758122776
"ILE...
Pamoja na uchungu wa kuzaa, uchungu wa kifo cha mtoto wake mchanga lakini Hamida Gwota alizuiwa kuondoka hospitali kwenda kumzika mwanaye hadi alipe deni la Sh631, 584 za matibabu ya mtoto...
Nauliza tu mantiki ya wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuratibu bei za vyakula wakati wa mwezi wa Ramadhani. Nijuavyo mimi kufunga ni ibada na tufungapo mambo yanatakiwa kuwa kama yapasavyo na si...
-Utafiti umeonyesha kumbe wale kunguru unapoona wamejazana wanapiga kelele huwa wanafanya msiba wa mwenzao. Wakihuzunika na kutoa vilio kutoka mioyoni mwao.
-Kunguru huwa hawasahau sura...
Hello GREAT THINKERS, Naomba kuwaulizeni hivi mbona mashirika mengi ya ndege hupata hasara kama vile KQ
na Rwandan Air ? Hii ya Rwandan air nilisoma humu humu JF wamepata hasara kubwa sana .
Zaidi ya nyumba 100 zatitia Dar
ZAIDI ya nyumba 100 zilizoko katika bonde la Kingugi kata ya Kilungule Manispaa ya Temeke, jijini Dar es Salaam, zimebomolewa na maji kutokana na mvua zinazoendelea...
vifurushi vya Vodacom vipya ni balaa.
kwangu vinasomeka hivi.
na line 2 inasoma hivi
nikapitia ya mwenzangu inasoma hivi.
kWENYE MPANGILIO HUU MWAKA HUU BASI