ikiumasema
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 917
- 1,275
Unaamka asubuhi,unawaza siku inaendaje,unajiweka safi na mazingira safi
Unaenda kazini,unafundisha asubuhi na mateso ya manyanyaso kazini mpaka jioni na huwez amini siku nyingine unashinda njaa mpk jioni unaporudi geto,
Unaamua uende dukani ukajinunulie mahitaji yako ya kila siku,unafika sukari imepanda bei,mafuta yamepanda bei,upo kijijini hakuna huduma ya maji safi wala hospitali dah hata umeme hakuna unajikaza unanunua sola power,ukirud nyumbani hata tv umeshindwa kulipia matangazo,
Unaondoka unaenda kijiweni japo stori mbili tatu za kupoteza mawazo unarud unapika,unakula,unawasha redio usikilize japo duniani huko kunaendaje ghafla unakutana na kundi la wenzio wameaandamana kudai malipo yao ilihali na ww una madai ya milioni kadhaa,unakumbuka mei mosi iringa unajiuliza kwanini binadamu ni wakatili hivi?
Unaamua kuingia kulala hakika moyo unatawaliwa na mambo mengi sana wakati huu,unawaza umri unaenda una mengi ya kufanya na ndoto kibao za maisha yako zimezungukwa na wimbi zito usiloweza kulikabili,mawazo ya maisha mazuri nyumba,gari na vinginevyo yanaonekana wazi kabisa hayatatimia,hela ya kula tu huna sembuse gari?
Unaitazama familia ya kwenu ooh my God hapa wanakutegemea kiumbe uliyekata tamaa!
MWALIMU MWALIMU MWALIMU MWALIMU MWALIMU MWALIMU KWANINI MWALIMU TU?
Daraja hawataki kunipandisha over six years
Malimbikizo yangu kila siku niandike barua
Kazi imenifanya nizeeke kabla ya umri wangu
Mazingira mabovu mimi
Kunihamisha bila malipo mimi
Mshahara hakuna nyongeza
Dah nishachoka mimi naona afadhali kuishi ukiwa masikini lakini uwe na furaha kuliko kufanya kazi ambayo inakufanya uishi na manung’uniko moyoni mwako daima…..furaha ni muhimu zaidi ya chochote.
IT’S A LOT OF BAD THINGS YOU DID ON ME.