Bunge La Znz 100% Live Azam Tv

Bunge La Znz 100% Live Azam Tv

Mitsubish

Member
Joined
Apr 26, 2018
Posts
85
Reaction score
58
Natazama baraza la wawakilishi hapa Mada kwa mada,yaani inapendeza sana,ni kama kuna maswali inaulizwa of isi ya Rais kupitia kwa spika
 
Ingawa halina impact yoyote hasa kwa wabara na ukizingatia ni bunge la chama kimoja
 
Aisee kuna uhondo!kumbe wanajadili bajeti ya raid kuna mbunge amesimama kahoji kuhusu Nero za muungano..anadema kwanini sukari toka Znz izuiwe kuingia bars wakati kuna bidhaa nyingi tu hadi maji,toka bara zinainhizwa Znz?
Na kuna vingi kutoka Kenya,Uganda Na nchi nyingine vinaingizwa bsra?
 
Sorry bajeti ya rais Na sio raid
 
Back
Top Bottom