majiyamtungi
Member
- May 13, 2018
- 38
- 22
Asbh hii nawahi kibaruani, hali ya barabara ni mbaya, na hapa ndo Jiji linalokua kwa haraka,
1. Miradi ya ujenzi wa flyovers iletwe hapa
2. Madiwani na wabunge njooni sasa mboreshe barabara,
Hali ni mbaya
1. Miradi ya ujenzi wa flyovers iletwe hapa
2. Madiwani na wabunge njooni sasa mboreshe barabara,
Hali ni mbaya