Mnyika: Wananchi wa Mbezi tunateseka na usafiri wa mabasi ya UDART njoo utusaidie

Shetemba

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
882
887
Unataka kuniambia kuwa nilipoteza muda wangu mpaka saa 4 ya usiku nikulinda kura zako pale Msigani ili usiibiwe.

Siamini kama huyu Kisena anaweza kukuweka mfukoni kiasi hicho wakazi wako tunateseka na haya mabasi ya UDART.

Sasa kupitia hapa JamiiForums tunakuomba uje hapa Mbezi ili kwa pamoja tuamue tuendelee na mwendokasi au turudie daladala zetu kama zamani.
 
unatakiwa ujieleze kilichokusibu or else umuaandikie sms kwnye simu yake umeandika kitu gani hapa eleza kero sio kila mtu anamfahamu kiseena na hueleweki unasema nini
 
Kulinda kura ni ujinga tu maana wakishapata madaraka either ni(CCM/CHADEMA) wanakua hawana mpango na wewe mlinda kura wao.

Wanasiasa wooote duniani wanafanya kile kinachowapa umaarufu tu.

So ukiona mh. Mbunge hajaliongelea hilo nadhani jibu utakua ushalipata boss.
 
Unataka kuniambia kuwa
nilipoteza muda wangu mpaka saa 4
Ya usiku nikilinda kura zako pale Msigani
Ili usiibiwe.siamini kama huyu Kisena anaweza kukuweka mfukoni kiasi hicho
Wakazi wako tunateseka na haya mabasi ya UDART

Sasa Kupitia hapa jamii forum tunakuomba uje hapa Mbezi ili kwa pamoja
tuamue tuendelee na mwendokasi au turudie daladala zetu kama zamani.
Hilo ni suala la Serikali sio mbunge
 
Jaman mnyika aliongeaga hiki kitu bungeni wakat magu n wazir akawaambia watafute xehem nyngn ya kujenga coz pale kilipo maji yanajaaaga lakin walimwambia analeta siasa kwenye maendeleo na kwamba n mpinga maendeleo
XEHEM ni nini boss?
 
unatakiwa ujieleze kilichokusibu or else umuaandikie sms kwnye simu yake umeandika kitu gani hapa eleza kero sio kila mtu anamfahamu kiseena na hueleweki unasema nini
Kama wewe si mkazi wa Mbezi au Kimara uwezi elewa nilichoandika
 
Wanasiasa ni km wanaume tunapotongoza mwanamke ni ngumu kujua ni mlaghai ama lah! Ni mpaka atakapochovya buyu la asali.
Hivyo kumuamini mwanasiasa kiasi cha kupoteza nguvu, mali na muda wako ni upuuzi usio na kifani.

Mnahangaika nae, mnalinda kura, mnapigwa mabomu yeye anakuja kisengerenyuma.

Maisha yangu yote simuamin mwanasiasa, simfatilii na kupiga kura ni mtihani mzito kwangu.
 
Robert kisena.....Mmh kuna kujuana hapo
Ndomana unaona jamaa haguswi watu wa
Kimara mtapigika sana Hadi kusaga Neno
Kumbuka awamu hii ni mupe muruke style....

Ova
 
Nunuaa gari au hamaaa.......kwani lazima kukaa huko?si nyie mliokuwaa mnasherehekeaa kujabjwa mwendo kasi?sasa vilio vya nn??
Asante braza sijazoea matusi ningekupachika moja tu usingerudia tena mwanaizaya we
 
Mnyika ukimlaumu kwa hili umemuonea kwa kweli,maana toka kipindi mradi unaanza akiwa mbunge wa jimbo la ubungo alisema bungeni wazi kabisa,kwamba serikali itapata hasara kwa kujenga pale jangwani,Walimkebehi na kumzomea,sasa yametokea kweli.Mnyika utamwonea tu ukimlaumu.
 
Mleta mada nimekuambia mimi nataka kwenda Tanga sasa mbona unaniacha Dar
Hebu tueleze tuelewe unamaanisha nini
 
Back
Top Bottom