Tigo na Zantel ndo mitandao pekee Tz inayowezesha kuhamisha hela kupitia World Remit... Hata katika kile kinachoonyesha kuwa mkataba na tigo pengine ni wa zamani sana, World Remit hawatambui namba...
Dar es Salaam.
Sababu za kuachiwa Hamis Shaban Taletale maarufu kama Babu Tale mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Tip Top Connection, aliyekuwa akisota mahabusu, akisubiri amri ya kupelekwa...
Jambazi kuu LA turiani wadidi inasemekana limeachiwa huru ni hatari kwa usalama uhalifu unaanza tena
Sababu za kuachiwa ni zipi wakati ni Jambazi linalojulikana
Kuna Pastor mmoja huko nchini Uganda ambaye kaja na Kali ya kuelekea katikati mwa mwaka ambapo kila siku za Jumapili wakati wa Ibada huwataka wale Wanawake wote wenye matatizo ya Kutopata Watoto...
Nilitaka kulipa maji bahati mbaya saa tatu asubuhi unaonekana kuwa mtandao wao wa Mpesa haufanyi kazi, sio jambo la ajabu, nimetoka ofisini saa kumi najaribu bado haufanyi kazi, invoice ya...
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imesema maombi 45 kati ya 262 yamekidhi vigezo na kupatiwa leseni kwa ajili ya utoaji huduma za maudhui kwa njia ya mtandao.
Akizungumza leo wakati wa...
Kwa Dar tayari sisi ni Mkoa tajiri kuliko Mikoa yote TZ, hivyo ningependekeza Mkuu wetu wa wa Mkoa wa Dar P.Makonda ahamishiwe Mkoa masikini ambao bado haujaendelea kama Kigoma, Lindi, Ruvuma au...
Ukiwa mwenyeji ama mzaliwa wa maeneo ya Shinyanga ama Geita na kama ni mdau wa madini katika uchimbaji mdogo basi neno "manyani" utakuwa umeshalisikia mara kibao.
KWA NINI WANAITWA MANYANI...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara Lucas Mkondya amewataka madereva bodaboda kuwapiga picha abiria wao kabla hawajaanza safari, kwa ajili ya usalama wao.
Lucas Mkonda ametoa rai hiyo kufuatia tukio...
Sio kwamba nawachukia, sio kwamba sipendi wasaidiwe laa hasha! Binafsi sina
moyo kabisa wa kuwasaidia watoto hawa ambao nawakuta kila siku wakiwa kariakoo
aidha kwenye kiti cha walemavu au chini...
Mauaji hayo yalitokana na ugomvi baina ya mtuhumiwa ambaye inadaiwa kuwa alikataa wito wa mumewe kupika chakula baada ya kutokushiba.
Akizungumzia na Nipashe jana kuhusiana na tukio hilo, Kamanda...
Kuna tabia fulani hivi mtaani
imezoeleka. Unamkuta askari anamfukuza bodaboda huko uchochoroni wanakimbizana mwanzo mwisho.
Hao vijana wa bodaboda ni wahuni. Wanawaelekeza maeneo hatarishi.Huko...
NAOMBA DAKIKA YAKO MOJA TU!!!
PUNGUZA..!
Ukitaka kuachana na nzi tupa kwanza mzoga ulionao, Namaanishaa Ukitaka mafanikio punguza kwanza marafiki hewa, wanafiki na watu wasiyona maana kwenye...
Picha za mwonekano kutoka juu wa shule ya sekondari ya Ihungo iliyopo mkoani Kagera,
Shule imekarabatiwa na serikali kupitia msaada wa wasamaria kutoka uingereza baada ya kuKumbwa na tetemeko la...
TUKIO LA DR. SHIKA
Dr. shika alishikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano kutokana na tukio la kuvuruga mnada wa nyumba za Lugumi, Ambapo pamoja mamlaka lililonayo jeshi lilijiridhisha paspo...
Tunaelekea mwishoni mwa masomo ya meditation kwa wiki hii
Kuna hili la kuchoma pesa kwenye imani za kibudha japo pia inaambatana na tamaduni za Kichina
Zaidi ya kuchoma pesa pia kuna kulisha...
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wilayani Ukerewe mwenye miaka miwili baada ya kumchapa fimbo sehemu mbalimbali za mwili kutokana na...
Mimi mtanzania asiyependa rushwa naiomba tume ya kudhibiti nidhamu za mahakimu kumfukua kazi hakimu mkazi wa mkoa wa Kagera anaitwa Mpelembwa na hakimu mkazi wa wilaya Bukoba anaitwa Mwakihaba kwa...