sodoliki
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,593
- 2,019
Nilitaka kulipa maji bahati mbaya saa tatu asubuhi unaonekana kuwa mtandao wao wa Mpesa haufanyi kazi, sio jambo la ajabu, nimetoka ofisini saa kumi najaribu bado haufanyi kazi, invoice ya Dawasco ina namba 14 nyuma nikitumaini ni kwa ajili ya customer service, mshangao wangu, nimejaribu zote hakuna hata moja inayofanya KAZI. kweli hii Ni ushuzi, kesho utasikia hawana hela ya kulipa madeni. Only in Tanzania