Tigo na world remit warekebishe mkataba wao

Tigo na world remit warekebishe mkataba wao

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,355
Tigo na Zantel ndo mitandao pekee Tz inayowezesha kuhamisha hela kupitia World Remit... Hata katika kile kinachoonyesha kuwa mkataba na tigo pengine ni wa zamani sana, World Remit hawatambui namba za tigo zinazoanza na 065... bali zile tu zinazoanza na 071...

Nimejaribu kuandika email kwa Tigo kupitia mtandao wao, naomba nikumbushie tena hapa in case kama wataisoma...
 
Hao Remit Wazitambue za kazi ganiii...? Huo ni umbea na Kwanza Mkataba Wewe Haukuhusu Waachie Wenyewee
 
😀 Unaijua?
Ama Una Comment
Nangoja Nipate Elimu Hapa

MunguNi Mwema Wakati Wote
 
Back
Top Bottom