Takwimu zingine mpaka zinatia hasira

Takwimu zingine mpaka zinatia hasira

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,494
Hadi 2015 Afrika Mashariki ilikuwa na ardhi yenye rutuba eka 124,718,000M, kati hizo Kenya imetumia 45.6%, Tanzania 38.6%, Burundi 0.9%, Uganda 13.0% na Rwanda 1.8%. Hii inaonesha bado tuna ardhi yenye rutuba kubwa sana.

Kwanini Tanzania hatuoni haja ya kutenga bajeti ya kutosheleza hata kufikia kutumia ardhi yenye rutuba kwa asilimia 50%?

Ukisoma baadhi ya takwimu mpaka inaleta hasiri na utafikiri hatuna wataalam wenye taarifa kama hizi wakati zinatolewa na waliofanya utafiti.
 
Chakushangaza na takwimu hizi, Tanzania is food secured than others in the region!!! Lazima zikere
 
Muheshimiwa alisema ukileta twakimu zako atakufunga. sa hapo si lazima upindishe tu
 
Back
Top Bottom