Ikiwa mtu alisoma degree si ya ualimu
then akajasoma diploma ya ualimu na akaajiriwa serikalini kupitia diploma!
JE AKISOMA POSTGRADUATE DIPLOMA YA EDUCATION SCALE YAKE NA CHEO ITAKUWA SAWA NA...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara imemwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili kubadili sheria na kila mtu aweze kujipima Ukimwi nyumbani.
Waziri Ummy ameyasema hayo leo Mei 31...
Akrit Jaswal ni kijana mdogo wa kihindi aliyeitwa kijana mtanashati katika dunia nzima, kwa maajabu aliyonayo. Kijana huyu ana IQ 146 na anahesabika kuwa ndiyekijana mtanashati katika nchi ya...
Huko maeneo ya Kibada Kigamboni, mwendesha bodaboda kauawa na majambazi wakati wa tukio la uporaji likiendelea.
Bodaboda aliyenusurika anasimulia, ilikuwa juzi Jumamosi kuamkia Jumapili, watu...
Kwa yeyote anaetumia Gari isiyo nafunguo ya kawaida kwa maana zile zenye kutumia ki remote sensor kwa kuwasha gari na milango, unapoenda office za Azam Tazara hakikisha usizime gari yako mpaka...
Rais si mtu mmoja Bali ni Taasisi ambayo ni Alama kwa Taifa Lolote, Rais Ni most protected people within his or her state, Rais hulindwa kwa cost yoyote ili awe safe Leo nitadadavua kwa Ufupi juu...
Ni jambo la ajabu kweli kwamba mawazo mema mawazo yenye faida kwako na kwa wengine mawazo yenye kulenga utakaso wa kiroho kamwe hayapewi nafasi kubwa kwenye bongo zetu
Mwanadamu hutumia muda...
SERIKALI imelipa madeni ya wakandarasi na watoa huduma mbalimbali yanayofikia zaidi ya shilingi trilioni 1.2 katika mwaka huu wa fedha hatua iliyochangia kuongeza ukwasi wa fedha katika jamii...
Dunia nzima bila kujali uhalali wa kinachoabudiwa kuna mifumo ya kiibada ya wazi na ya kujificha.
Wapo wanaoabudu Wanyama.
Wapo wanaoabudu Miti
Wapo wanaoabudu Pesa
Wapo wanaoabudu Sayansi
Wapo...
Wakuu vyuma vinakaribia kuvunjika baada ya kukaza kwa muda sasa, naomba kujuzwa kama Kuna bank inanunua deni la loan board nikajilipue, mana nimebakiza makato ya kama mwaka na nusu tu kwa kipindi...
Habari zenu wana JF? Ni matumaini yangu kila mmoja wetu hapa ameweza kuiona siku ya leo. Bila shaka ni jambo la kushukuru sana maana siyo wote waliolala jana na wameamka leo.
Bila kupoteza...
Napendekeza tuwe na Timu za michezo ya Soka, Pete na Kikapu ambazo zote zitakuwa chini ya Mtandao wa JamiiForums ili basi kupitia Sisi kuwa na kujiita Great Thinkers tuweze kuwaonyesha wasiokuwa...
Wakopaji wa hela wana maneno matamu sana na sababu nyingi sana zilizojitosheleza na zimepangika haswa! Anatiririka na kukuweka kati bila shida.
Anakuja na sababu ambayo anaitetea safi kabisa...
Hali ya sintofamu imetanda katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ikiwa imepita wiki mbili tangu muda wa kupewa hela za chakula (Boom) kupita.
Wanafunzi hao wameonekana wakipata mlo mmoja wa viazi...
Hakuna kitu kinauma kama kunyimwa nafas ya kuchangia kimalezi na kifalsafa katika ukuaji wa mtoto wako.
Mimi nilipata kuzaa na mwanamke mmoja katika ndoa,japo ndoa hiyo ilivunjika. Sasa mwanamke...
Tabora. Mkazi wa Kijiji cha Malema wilayani Uyui mkoani Tabora, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mke wake na mtoto kwa kuwachoma na kitu chenye ncha kali kutokana na wivu wa mapenzi...
Zaidi ya vijana 2000 hadi 3000 waliopo nchini wanaosomea masuala ya reli watafundishwa teknolojia ya kisasa ya masuala hayo ya reli na wataalam waliobobea kwenye sekta hiyo kutoka nchini Korea na...
Wakati unataka wazazi wako kukuunga mkono kwa jambo ambalo hujui jinsi ya kulizungumzia inaweza kutisha sana!
Lakini hakuna haja ya kuwa na wasiwasi. Kwa
kweli wazazi wanaweza kuwa wasaidizi...