Louis II JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 3,030 Reaction score 4,651 May 27, 2018 #1 Nahitaji mwongozo kurudisha kadi ya benki CRDB iliyopotea....na pengine muda ambao naweza kuchukuwa hadi kupata nyingine
Nahitaji mwongozo kurudisha kadi ya benki CRDB iliyopotea....na pengine muda ambao naweza kuchukuwa hadi kupata nyingine
decomm JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 726 Reaction score 668 May 27, 2018 #2 Louis II said: Nahitaji mwongozo kurudisha kadi ya benki CRDB iliyopotea.... Click to expand... Nenda CRDB watakusaidia. Ukienda na ripoti ya Polisi ya kupotelewa na hiyo kadi itakuwa bora zaidi.
Louis II said: Nahitaji mwongozo kurudisha kadi ya benki CRDB iliyopotea.... Click to expand... Nenda CRDB watakusaidia. Ukienda na ripoti ya Polisi ya kupotelewa na hiyo kadi itakuwa bora zaidi.
Louis II JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 3,030 Reaction score 4,651 May 27, 2018 Thread starter #3 decomm said: Nenda CRDB watakusaidia. Ukienda na ripoti ya Polisi ya kupotelewa na hiyo kadi itakuwa bora zaidi. Click to expand... Sawa mkuu...labda inaweza kuchukuwa mda gani kupata nyingine baada ya kupitia hizo hatua ulizonambia
decomm said: Nenda CRDB watakusaidia. Ukienda na ripoti ya Polisi ya kupotelewa na hiyo kadi itakuwa bora zaidi. Click to expand... Sawa mkuu...labda inaweza kuchukuwa mda gani kupata nyingine baada ya kupitia hizo hatua ulizonambia
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 6,048 Reaction score 8,826 May 27, 2018 #4 ni ka wiki mbili kurudi nyuma japo wanaweza sema wiki tatu
Louis II JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 3,030 Reaction score 4,651 May 31, 2018 Thread starter #5 Uchira 1 said: ni ka wiki mbili kurudi nyuma japo wanaweza sema wiki tatu Click to expand... Nashukuru sana mkuu
Uchira 1 said: ni ka wiki mbili kurudi nyuma japo wanaweza sema wiki tatu Click to expand... Nashukuru sana mkuu