Local channel sasa ni bure; Asanteni sana continental

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Hawa jamaa nimewakubali sana wamerudisha local channel sasa ni bure yaani Itv, startive, eatv na tbc
Nashukuru kwa kutupa vingamuzi kwa shilingi 36000 tu na kuangalia miezi 3 bure
Thanks mbarikiwe
angalau sahivi mmejirekebisha maana mwanzo mlikua bomu kabisa ila zbc 2 naombeni muirudishe
 
afadhali sahv maana mwanzo mlikua mnatumika kisiasa
 
Hawa jamaa nimewakubali sana wamerudisha local channel sasa ni bure yaani Itv, startive, eatv na tbc
Nashukuru kwa kutupa vingamuzi kwa shilingi 36000 tu na kuangalia miezi 3 bure
Thanks mbarikiwe
angalau sahivi mmejirekebisha maana mwanzo mlikua bomu kabisa ila zbc 2 naombeni muirudishe
Kina star times wameendelea kukaza, serikali ipo busy... War against drugs
 
Azam na charge zao siyo haba, miezi mitatu ikiisha naanza kulipia au ikoje mkuu?
nunua continental ukishalipa 36000 unapewa na antenna bure pamoja na kuangalia miezi 3 bure baada ya hapo ztabak local channel kawaida mkuu
 
Wote hawa naona kama hawatabiriki bora tu kununua DSTV.
 
tatzo la dstv gharama

Hali ni ngumu sana, mda mwingine huwa najiuliza walau ikiwa mm napata chochote ktk miangaiko yangu lkn bado nalalamikia bei ya sukari! vipi huyu ambaye hana chochote? kila sehemu no access until payments.
Mamlaka angalieni hili matumizi ni makubwa kulikoni tunachokipata! Local channels ziwe free, tupate pakupumzikia, kuburudika tukitafakari mengine.
 
ur right mkuu tatzo TCRA wapo busy kuwatafuta anti-govt
ila jina lako la ndera limenikumbusha mbalii tukiwa watt tulipenda kupiga ndera sana na kutengeneza ndera
 
du
Hawa jamaa nimewakubali sana wamerudisha local channel sasa ni bure yaani Itv, startive, eatv na tbc
Nashukuru kwa kutupa vingamuzi kwa shilingi 36000 tu na kuangalia miezi 3 bure
Thanks mbarikiwe
angalau sahivi mmejirekebisha maana mwanzo mlikua bomu kabisa ila zbc 2 naombeni muirudishe
nikadhani startimes aghrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom