ushakutana na mtu wa aina hii?

ushakutana na mtu wa aina hii?

mkali kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
1,301
Reaction score
1,187
Braza.....*
Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....
1f447.png
1f447.png
1f447.png
1f447.png

"Za hasubui Lichadi,Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"
1f602.png

Na wewe mjibu hivi;
hAsubui ni nzuli Lozi wangu.Humeamkajewaubaniwangu? Sikulala tena tangia saa ile siunalijuwa penzi langu kwako wewe Lozi maua wangu??
 
Mimi mtu akinitumia sms za hivyo na mimi namjibu kwa herufi kubwa bila kuruka mistari tena nachanganya na kilugha ili tusielewane tu maana kaanza yeye mwenyewe.

Unamjibu "HABALININZURITU WEWEHUJAMBO?"
 
Mimi mtu akinitumia sms za hivyo na mimi namjibu kwa herufi kubwa bila kuruka mistari tena nachanganya na kilugha ili tusielewane tu maana kaanza yeye mwenyewe.

Unamjibu "HABALININZURITU WEWEHUJAMBO?"
hahahahha hatari mkuu
 
Inabidi aundiwe tume akaguliwe vyeti vyake vilivyomfikisha huko chuo.
 
Mmoja kaniomba urafiki facebook akajitambulisha kama mwanasheria nikamkubalia nikakaa kimya. Siku isiyo na jina naona message mambo, kuangalia ni yule mdada mwanasheria basi nikamjibu English mwanzo mwisho , tukawa hatuelewani. Nilipoona lugha haipandi na mimi nikakaza hapohapo mwisho ananiuliza kwani Kaká hujui kiswahili? Na mimi nikamuuliza na wewe ni mwanasheria gani usiyejua kiingereza ?
 
Braza.....*
Ushawahi kukutana na mwanamke anakwambia anasomaga Chuo halafu anakutumia text inasomeka hivi....
1f447.png
1f447.png
1f447.png
1f447.png

"Za hasubui Lichadi,Humehamkaje, nirikuwa nakusalimiha tu hafya vipi?"
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png
Bora huyo. Bro angu alitongoza demu ambaye hajafika kabisha shule hajui kusoma so hakuna kuchat[emoji23]
 
Back
Top Bottom