Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari Wanajukwaa. Nimebahatika kuona tangazo ambalo naamini 100% ni utapeli. Ni matangazo ambayo yamesambaa sana kwenye vituo vya daladala especially maeneo ya tegeta. Yani hapa nazionea...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Usiupite Wosia huu tafadhali[emoji1241]
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Jimmy claure,mfanyakazi wa mamlaka ya mapato Tanzania,mwenge ni miongoni mwa watumishi wa mamlaka hiyo waliosimamishwa kazi baada ya kubainika walipewa mgao wa escrow. Mwingine aliekumbwa na...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Muswada wa Sheria ya Fao La Kukosa Ajira Huu Hapa Ule mbadala wa fao la kujitoa ambao umekuwa ukisemwa na mamlaka ya udhibiti na uendeshaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii nchini SSRA, na wakati...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
wakuu kuna mtoto mzur sana anafanya kazi iyo kampun ya ndege precision air najalibu kutia mistali, ila uyo mtoto wa ukweli sana, pamba mpya daily hivi wanalipwa kiasi gan? maana uyo mtoto kwa...
2 Reactions
43 Replies
12K Views
Habari kwenu watanzania, huu ujumbe uwafikie TCRA na idara zinazo husika kusimamia maadili ya vyombo vyetu vya habari. leo wakati nipo mahala flani nakula walikuwa wameweka tv channel ya...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa salam ya maamkiz ya peponi Assalam aleikum warhamtullah wabarrakat. Nimeona tangazo la Muft wa Tanzania anasema swala ya Idd ya kuchinja itakuwa siku ya jumatano ikiwa inamaana...
6 Reactions
20 Replies
8K Views
nini faida, hasara au kivipi isiwezekane...maana mm ni mfanyakazi wa kawaida ila JF nakuta nimeandikwa "senior member, expert member, verified, etc"...na ni wazi kuna wanaopiga hela hata hapa...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mkazi wa kijiji cha Kinku tarafa ya Mungaa wilaya Ikungi , Singida, Editha Kanisi (49) ameuawa kwa kukatwa kwa kisu cha kukatia majani, (mundu) shingoni na kichwani na mume wake Joseph Wilbroad...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa heshima na taadhima wakuu. Alfajiri ya leo mida ya saa kumi na nusu nilitoka ili nifanye mazoezi ya kukimbia kwa nusu saa. Kilichonishangaza ni kuona mgongo wa mnyama mkubwa kuliko...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Naombeni ushauri wenu wakuu tangu niache kazi mwaka jana mwezi wa kumi kwenye kampuni ya kichina nilikokuwa nafanya kazi ya kumwaga zege na kuamua kujiendeleza kimasomo. Nilifata hatua zote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
i donti noo hawu tu tu.. eksiplein[emoji23] [emoji12] [emoji12]
0 Reactions
30 Replies
4K Views
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaju amewataka wafanyabiashara mkoani Kigoma kutokubali kulipa kodi kwa makadirio, iwapo wataalamu wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimepita mahala Nikiwa kwenye chombo cha usafiri namuona mama ntilie anashikwashikwa hadharani na wateja wake bodaboda. Mwingine anamkumbatia mwingine anashika kalio kiutani. Sio mara ya kwanza...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Maelezo ya TCRA yanaonesha kutulinda watumiaji wa FTA channels ili tuzipate bure. Kama king'amuzi kimeisha basi wakate za wageni ila za nyumbani zibaki hata kama mtu kashindwa kulipia subscription...
0 Reactions
90 Replies
22K Views
Mji mkuu wa Indonesia Jakarta ni nyumbani kwa watu milioni 10 lakini mji huo pia unazama kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa hatua hazitachukuliwa sehemu za mji huo mkubwa huenda zikazama kabisa ifikapo...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
*RC HAPI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA IRINGA* Na Dennis Gondwe Afisa Habari, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Iringa Kufuatia malalamiko ya wananchi Juu ya hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
KAMPUNI zinazomiliki minara ya kurusha matangazo ya televisheni zimetoa siku 30 kwa wamiliki wa vituo vya televisheni nchini kulipa gharama za kila mwezi vinginevyo zitaondolewa katika minara...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
- Jamaa mmoja nchini Zimbabwe alingia hospitalini hadi katika wadi ya wanawake na kulala na mkewe aliyelazwa humo - Mwanamke huyo alieleza kuwa hangeweza kumkataza maana mumewe huyo angemjeruhi...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…