Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ametoa mwezi mmoja kwa wanaume waliowatelekeza watoto wilayani humo kuhakikisha wanaanza kuwatafuta watoto wao na kuanza kuwahudumia.
Amesema kuwa, baada ya...
Kuna jambo limenistua sana;
Mwanafunzi amefika katika hospitali akiwa na Bima ya Afya ya NHIF ya chuo flani hapa Dar,kisha akaambiwa kuwa bima yake haijalipiwa.Ni bima mpya ya kama miezi miwili...
Nipeni cha kuzifanyia hizi 10GB maana nasiku tatu tu mbele zimalize muda wake.
Kama kuna App,Game au chochote kizuri tupeana hapa niweze kukifanya.
Ahsanteni.
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo vipande 23 yenye uzito wa kilogramu 60 vikiwa na thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 175.
Kamanda...
Imekuwa ni hulka ya watu wengi wanapofariki kuacha wosia kuwa ile nyumba ya urithi, au lile shamba, kiwanja au biashara isiuzwe na mrithi.
Na nimesikia sehemu mbali mbali kwa watu waliouza mali...
Nimeshindwa kuvumilia. Pamoja na uzuri wa gari, upya, full AC na charging port, safari ilianza kuwa ya kuchosha pale nilipoona kwnye screen kuna Movie ya Kinaigeria inatafsiriwa. Serious hadi...
Pengine unafahamu au haufahamu ukisafiri kwa ndege kutoka mji waa Tokyo nchini japana siku ya jumapili SAA kumi na moja kuelekea mji wa Maryland nchini marekani unafika Jana? Yaani unaondoka...
*Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi usingizi ule wa kukesha jana yake*.
*Halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi*.
*Ile unaamka na...
Sayari 4 ziko katika mstari angani na Mwezi unazikaribia kati ya 14 hadi 23 Agosti 2018
Zuhura (Venus), Mshtarii (Jupiter), Zohali (Saturn) na Mirihi (Mars) zinaonekana angani zikiwa katika...
Wananchi wa kijiji cha Kankwale katika manispaa ya Sumbawanga Rukwa, wanaojishughulisha na kilimo cha bustani za mboga mboga kwenye bonde la mto Lwiche, wamelalamikia kitendo cha kundi la watu...
TARURA wamefanya kazi nzuri kukarabati barabara za kiwango cha changarawe lakini wameshindwa kudhibiti watu wanaojiwekea matuta katika maeneo yao. Kila mtu anauwezo wa kiweka tuta sehemu yake kwa...
Mwanza. Baada ya kukosekana angani kwa siku tatu mfululizo kuanzia Agosti 14 hadi 16, 2018 ndege ya Boeing 787-7 Dreamliner imeanza tena kukata anga na tayari imetua katika uwanja wa ndege wa...
Tanzania’s Ifakara Health Institute (IHI) Science Director, Dr. Fredros Okumu, is among 41 scientists from around the globe selected by philanthropies as international research scholars.
Dr Okumu...
MKAZI wa Kimara Stop Over, Riziki Joseph (37), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya Kinondoni, Dar es Salaam kwa shitaka la udhalilishaji wa kingono.
Akimsomea shitaka mbele ya Hakimu...
Hiyo ni hali ya kiwango cha juu ktk kuepukana na uchafuzi wa hali ya hewa duniani kwa kupunguza hewa ukaa (carbon monoxide) baada ya China kutengeneza magari yanayotumia umeme na kuwakabidhi...
M Chumvi
Wahamiaji Walowezi 6000 Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameanza kutambuliwa kwa kuingizwa katika mfumo wa Kompyuta.
Kimkoa uzinduzi huo ulifanyika Kata ya Sunya Wilayani Kiteto, ambapo...