Mtu mlisoma nae msingi/sekondari alikuwa smart balaa au beauty kweli mkamaliza msingi/ sekondari mkaachana kwa kusambaratishwa mashule kila mtu amepigika kivyake ili apate elimu itayomkomboa...
Hapa kwenye nyumba nilipopanga tupo wapangaji wawili kama kila mtu upande wake .
Miezi miwili iliyopita nilikua likizo kwa hiyo mara kwa mara nilikua nawahi kurudi nyumbani.
Daah mara nyingi...
hello JF,
niseme tu nimesikitishwa na Dreamliner kufanyiwa check up baada ya tripu mbili(sijui ukweli ni upi?)
ila kama ukiangalia vizuri katika teuzi zake Magufuli amejaza maproffessor…
sasa...
Historical injustices!!
Kisili Mutua, who was convicted of Pio Gama Pinto's muder before being released later, with former Chief Justice Willy Mutunga at a past function in Nairobi.
A handcart...
Nimejiuliza swali hili baada ya jamaa mmoja hapa jirani kusema anamiliki laini 4 za simu kwa ajili ya kucheza bahati nasibu kila anunuapo vifurushi. Nimecheka sana.........labda serikali inataka...
Habari wa wana jf,
Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya siri...
Akhbary za SAA hizi wakuu
Wakuu mwenye uzoefu na kilimo cha mahindi ya bisi na soko lake anijuze mana kilo moja dukani imefka elf 3 now inaelekea in kilimo kinacholipa
Viwanja vya ndege vya JKNIA na JKIA vinatuchanganya nadhani kimoja ni vizuri kikabadilishwa jina, kama mtaamua chetu ndiyo kibadilishwe basi nashauri kiitwe Nyerere international airport(NIA)...
Nianze kwa kusema kwamba imani zetu wengi ndio zinatufanya kuwa watu wa wasiwasi na kushindwa kufurahia miaka yetu michache tunayoishi hapa chini ya jua.
Unamkuta mtu msomi kabisa humu anaamini...
Kiama kinazidi kutuandama wabongo,walianza kuzima Bunge Live,kama masihara wamekuja kwenye blogs,sasa kwenye local Channels,kabla halijaisha jana imetoka taarifa ya umiliki wa line za simu moja tu...
Wakuu kwa habari za vijiweni hivi sasa barabara zote Tanzania zimesheheni tochi vilivyo. Ninaamini lengo ni kuondoa kabisa ajali barabarani wala si kuongeza mapato kama wengi wetu tunavyodhani...
Agano la kale lilikuwa kivuli juu ya agano jipya ( wakolosai 2:17).
Yesu alisema alivitakasa vyote kimwingiacho mtu na hakimtii unajisi (mark 7:17-20)
Nguruwe anaogopwa na wenye pepo ila sisi...
Habali ndugu zangu,,hiv watangazazi wa vyombo vya habari navuta picha yupo peke peke yake studio anaongea peke yake ,,,naona kama ni MTU anaembea akijiongelesha ,,,plz mwenye Taaluma na hili atupe...
SERIKALI imetakiwa kuhakikisha waraka wa mishahara unapitiwa kila baada ya miaka mitatu na kufanyiwa marekebisho kama inavyotakiwa kisheria ili kuhakikisha haki ya ujira stahiki na kuishi katika...
Mimi binafsi nikiwaga na stress au mawazo mengi basi huwaga kuna mshikaji wangu flani hivi huyu jamaa hajawahi nishauri jambo la maana,
Yeye ni kama mpumbavu flani hivi lakini ana mawazo ya...
Ndugu zangu wana Jf nafikiri wote ni wazima ila kama kuna anaeumwa basi pole sana mwenyezi mungu atakufanyia wepesi,
Lengo la uzi huu sio wa kutatanika wala sio wa kisiasa ni uzi huru wenye lengo...
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu muumbaji wa mbingu na nchi kwa kutufikisha tena kuiona siku nzuri ya leo,Moja kwa moja niende kwenye mada.
Kama kichwa cha mada kielezavyo,nimekuwa nikijiuliza...
Katika siku za hivi karibuni kumezuka tabia ya vyombo vya habari kuenzi uovu.Si tabia za kawaida na zilizo zoeleka katika jamii yetu.Kiukweli ni tabia ngeni kabisa. Ni kawaida kabisa siku hizi...
Wananchi Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, wametakiwa kulima mazao ya biashara ili kuondokana na umaskini.
Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Mbulu Mhe.Chelestino Mofuga katika maadhimisho ya siku...