UNAPOANZISHA uhusiano mpya, bila shaka unakuwa na matarajio makubwa ndani ya moyo wako kuhusu yale unayotarajia mwenzi wako atakufanyia au atakuonesha. Hata hivyo, mara nyingi watu wengi husukumwa...
July 5 alikuwa mikononi mwa police kwa kosa la kusambaza ujumbe uliosema AH KWANI RAIS KITU GANI BWANA yaani alikuwa hamkubali JPM hata kidogo ila ndani ya mwezi tu kabadili gia angani,ghafla...
Salamu!
Wengi tunatumia simu, kama sio ya mkononi basi ya mezani, je umewahi kujiuliza maswali haya?
Kwa nini unaanza mazungumzo ya simu na neno HALLO?
Ni nani mtu wa kwanza kusema HALLO ktk...
Tanzania yenye miundo mbinu kama hii inakuja muda si mrefu kwa wale ambao hawaamini maana kila siku wanafikiri haya ni kwa ajili ya wazungu tu basi kwa taarifa yako miaka si mingi sana tutakuwa na...
Polisi mwanza wametangaza kuanza utaratibu wa kupima kilevi madereva wanaotoka bar.Unajua hiyo itaongeza mapato kiasi gani?kudos sana,nashauri jeshi la polisi lianzishe kitengo cha marketing maana...
Tupo katika awamu ya tano yenye ndoto ya Tanzania ya Viwanda lakini kuna viongozi hawapo serious.
Huu ndiyo Ukumbi wa kimataifa wa halmashauri ya Busokelo unaoendelea kujengwa na watu walio...
Habar za muda huu ndugu wanabodi,
Naomba msaada wa kufahamishwa kwenye hili 'kwanini huwa kuna picha ya Rais kwenye ofisi za umma?'
Kazi ya picha hii ya Rais huwa nini hasa kwenye ofisi hizi za umma?
Habari za jioni wapendwa katika bwana,
Sawa na mada tajwa hapo juu,imefika muda sasa nafikiria KUOKOKA yaani kuwa mtu wa tofauti na nilivyokuwa hapo awali.
Nimejifunza mengi sana kwa kuwemo humu...
Inadaiwa Kuna askari Magereza amempiga raia risasi ya kiuno hapo Mahakamani Kinondoni Dar Es Salaam.
Kuna mtuhumiwa kaachiwa na mahakama...kama kawaida wakataka kumkamata tena nje, jamaa...
Mkuu wa wilaya ya Arumeru, Jerry Muro ametoa mwezi mmoja kwa wanaume waliowatelekeza watoto wilayani humo kuhakikisha wanaanza kuwatafuta watoto wao na kuanza kuwahudumia.
Amesema kuwa, baada ya...
Kuna jambo limenistua sana;
Mwanafunzi amefika katika hospitali akiwa na Bima ya Afya ya NHIF ya chuo flani hapa Dar,kisha akaambiwa kuwa bima yake haijalipiwa.Ni bima mpya ya kama miezi miwili...
Nipeni cha kuzifanyia hizi 10GB maana nasiku tatu tu mbele zimalize muda wake.
Kama kuna App,Game au chochote kizuri tupeana hapa niweze kukifanya.
Ahsanteni.
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo vipande 23 yenye uzito wa kilogramu 60 vikiwa na thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 175.
Kamanda...
Imekuwa ni hulka ya watu wengi wanapofariki kuacha wosia kuwa ile nyumba ya urithi, au lile shamba, kiwanja au biashara isiuzwe na mrithi.
Na nimesikia sehemu mbali mbali kwa watu waliouza mali...
Nimeshindwa kuvumilia. Pamoja na uzuri wa gari, upya, full AC na charging port, safari ilianza kuwa ya kuchosha pale nilipoona kwnye screen kuna Movie ya Kinaigeria inatafsiriwa. Serious hadi...
Pengine unafahamu au haufahamu ukisafiri kwa ndege kutoka mji waa Tokyo nchini japana siku ya jumapili SAA kumi na moja kuelekea mji wa Maryland nchini marekani unafika Jana? Yaani unaondoka...
*Vuta picha umelala mida ya alfajiri hivi usingizi ule wa kukesha jana yake*.
*Halafu kuna mtu anakuja kukugongea mlango kwa fujo sana kwenye mida ya kama saa moja moja hivi*.
*Ile unaamka na...