Mh Rais tukabidhi wananchi mamlaka ya kuwachapa wateule wako tukijua ni wakosefu

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,492
2,000
Nimeandika uzi huu,nitafurah sanaaa kama uzi wangu mmoja niliutoa ulikuwa na kichwa cha habar Mh wateule wako unawafanyia Vetting ya kutosha? Na katika uzi ule nilikuwa nalenga kumjulisha Mh kuwa kuna wateule wake ambao ni wachafu na hawafai kuteuliwa na mtu aliye ndani ya jengo jeupe kwa maana ya ikulu ya Magogoni.

Kwa leo natumia nafasi hii kupeleka maombi yetu sisi wananchi wanyonge turuhusiwe kuwacharaza viboko watumishi ambao tutagundua kuwa ni wachafu ila wameteuliwa na Mh rais wa jamhuri ya muungano kimakosa.

Mfano bwana mmoja kupitia uzi wangu wa awali yeye alikuwa mwalimu,baadae akapandishwa cheo akaenda kutumikia chama cha walimu baadae ametangazwa kuwa mkuu wa wilaya sio kosa kufanya hivi.

Ila huyu bwana ambae sasa anahitwa Mh unakuta sio msafi katika nyanja za utumishi uko kuna pahala alifanya kosa na unamwambia hataki kukuelewa.

Unaenda mitaani unakuta huyo bwana ni mchafu wa kila namna kwa nn mh rais usitupe mamlaka ya kuwachapa wateule wako ili tuwatie adabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haha

JF-Expert Member
Apr 21, 2013
748
1,000

TuanzTuanze na wateule walofoji vyeti vya taaluma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom