Kwanini wenzetu Waislam wana sherehe nyingi sana kuliko Wakristo ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Ndani ya mwaka Waislam wanaongoza kwa kuwa na sikukuu nyingi sana kuliko Wakristo!

Wakristo wana sikukuu / sherehe zisizozidi 4 kwa mwaka mzima, ila wenzetu waislam wanazo nyingi sana.

Usawa uko wapi hapa?

Kulikoni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu zitaje hizo sikukuu "nyingi" za Waislam

Mi nakutajia za dini nyingine kubwa hapa Tanzania ile ya Wanaomwamini Kristu
1. January 1(Mwaka Mpya)
2. Ijumaa Kuu
3. Pasaka
4. Jumatatu ya Pasaka
5. Christmass - Dec 25
6. Boxing Day - Dec 26
 
WEWE JINGA KABISA HIZO STORY ZA UDINI ZISHAPITWA NA WAKATI.
SIKUKUU ZA WAISLAM
1.IDD EL FITR
2.IDD EL HAJJ
3.SIKU YA IJUMAA
ZA WAKRISTO
1.PASAKA
2.KRISMASS
3.IJUMAA KUU
4.JUMAPILI
5.JUMAMOSI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya mwaka Waislam wanaongoza kwa kuwa na sikukuu nyingi sana kuliko Wakristo!

Wakristo wana sikukuu / sherehe zisizozidi 4 kwa mwaka mzima, ila wenzetu waislam wanazo nyingi sana.

Usawa uko wapi hapa?

Kulikoni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mafundisho sahihi ya kiislam, kuna sikukuu mbili tu zilizothibiti za kiislam ambazo ni Eid mbili, Eid El Fitr ambayo inaadhimishwa baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan na Eid El Hadj ambayo inaadhimishwa baada ya mahujaj kumaliza ibada kubwa ya Hijja.
Hzo sherehe nyingne zinazoadhimishwa hasa hapa Tanzania hazipo hata kwenye mafundisho ya kiislam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya mwaka Waislam wanaongoza kwa kuwa na sikukuu nyingi sana kuliko Wakristo!

Wakristo wana sikukuu / sherehe zisizozidi 4 kwa mwaka mzima, ila wenzetu waislam wanazo nyingi sana.

Usawa uko wapi hapa?

Kulikoni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa rudi usome tena vizuri. wakristo wana 2 days Xmass/boxing day, wana pasaka almost 3 days na mwaka mpya na hesabu wa kwao pia maana calender yao. Waislamu Eid siku moja na Eid kubwa siku moja. Sina uhakika sherehe ya maulid kama ni public holiday. Mwaka mpya wa kislamu hakuna off kazi tu. hapo wana Sunday zao za ibada waislamu hawana Friday kazi tu.
 
ila sababa, nanenane na karibu tutakuwa na tisa tisa halafu sasa siku ya wanawake, wanaume, mama, baba, uhuru, muungano muhimu mwaka mzima tuna siku.
 
Bora ungezungumzia u sawa kwenye ajira ofisi za umma! Ila najua kwenye hili hataki kusikia huo usawa!
 
Ndani ya mwaka Waislam wanaongoza kwa kuwa na sikukuu nyingi sana kuliko Wakristo!

Wakristo wana sikukuu / sherehe zisizozidi 4 kwa mwaka mzima, ila wenzetu waislam wanazo nyingi sana.

Usawa uko wapi hapa?

Kulikoni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nadhani kwa sababu wao ni Waislaamu na we ni mkristo.

Ushauri :
Nenda msikitini waulize bila shaka utapata sababu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jirani zetu Kenya, wapagani wameomba siku kuu yao na ifanyike February. Why February? Sijui!
 
Back
Top Bottom