Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais mstaafu wa awamu ya nne kwenye picha akipanda Ndege ya Rais kuelekea Mjini Harare , Zimbabwe [emoji1269] kumuwakilisha Rais John pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa Rais mteule wa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Utakuwa unamjua Donald Trump Rais wa Marekani kutokana kuongoza Taifa hilo kubwa dunia, lakini yeye mwenyewe kuwa na vitega uchumi mbalimbali. Kutokana na umaarufu huo wa Rais Trump, hapa nchini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1 Musa akajibu akasema, Lakini, tazama, hawataniamini, wala hawataisikia sauti yangu; maana watasema, BWANA hakukutokea.2 BWANA akamwambia, Ni nini hiyo uliyo nayo mkononi mwako? Akasema, Ni...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
hello JF hili swala sio kwamba ni la kufikirika ni kweli yanatokea nilianzisha topic ya mfuko wa jamii haikupita muda mrefu kukawa haijibiwi replies.. nikasema labda ni Becky sometime...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau, Serikali ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli ipo katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015. Naamini nyote mnajua kuwa mojawapo ya mikakati ya Serikali ni...
0 Reactions
3 Replies
637 Views
Madaktari ni watumiaji wazuri sana wa vilevi, hasa pombe kali. Wengi wao ni walevi kupindukia mpaka wengine hudiriki kwenda makazini wakiwa chakali. Wao wanajua athari za pombe kwa undani zaidi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimepata taarifa eti kuanzia sasa chaneli za FTA ili kuzipata tutumie antena za anolojia (mwiba wa samaka) tena ni kwa baadhi ya mikoa tu! Chanzo: mwananchi app ==== => Ukitaka kutazama channel...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Nipo na DSTV naangalia paredi ya kuapishwa kwa Rais wa Zimbwabwe naona kama haivutii ,sijui naionaje ika wenyewe wanaishangilia kinoma. Haswa mwendo wao wa haraka na bendi yao inavyopigwa.. Mimi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi? Kama kichwa cha bandiko kinavyojieleza, ningependa kufahamu kama hasira inaweza kurithiwa kizazi hata kizazi(kijenetiki). Pia upande wa kiimani limekaaje, je inaweza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
(Reuters) Russian billionaire Roman Abramovich has hired an investment bank to consider the sale of his English Premier League soccer team Chelsea, the Sunday Times newspaper reported. A source...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini, Wadau usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto Mbunge mmoja machachari wa CHADEMA amekufa kifo chenye utata mpaka polisi wakaingilia kati. Eneo alilofia kulikuwa na fujo mpaka mabomu ya...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Habar wana jf, ni muda sasa sijaweka uzi humu mara nyingi hua napitia nyuz za watu ili kupata knowledge mbalimbal. Kwa Leo nikua naomba kuuliza kutoka kwa wajuvi mbalimbali na wataalamu wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Maisha yetu chimbuko lake ni ardhini, tumetoka ardhini sisi, viumbe na mimea tunayokula na maji tunayokunywa, vyote vina asili ya ardhini. Ardhini kuna madini, chumvichumvi, antibiotics...
13 Reactions
58 Replies
25K Views
Wimbi la ujambazi kwa watu wanaotoka kuchukua fedha bank linapaswa kufanyiwa uchunguzi maana si kawaida. Iweje mtu anatoka banki kudeposit fedha hakumbwi na hali hii isipokuwa huyo huyo akitoka...
7 Reactions
59 Replies
8K Views
Kutoka Mkoani Mtwara: Mtu mmoja anayedaiwa kuwa ni mganga wa kienyeji ambaye anatumia uganga wake kubaka wanawake ambao wanaenda kwake kwa mahitaji ya msaada wa kuimarisha ndoa zao na biashara...
2 Reactions
88 Replies
16K Views
Nimekuwa nikitafakari sana kwanini Nchi wazungumza kiswahili Masikini?Najua kuna nchi nyingine zisizozungumza kiswahili ni Masikini, lakini nimegundua kuwa utamaduni wa wazungumza kiswahili ni...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
MAELEZO KUHUSU BAADHI YA ALAMA KATIKA NOTI NA SARAFU Kumekuwa na mijadala kuhusu alama zilizopo katika noti na sarafu za Tanzania, hususan alama ya nyoka inayoonekana kwenye noti ya shilingi 500...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
Nakumbuka katika Kombe la Kuku mtaani kwetu, aliyeanzisha ligi alikuwa na timu yake ambayo alihakikisha inatinga fainali. Ilipotinga fainali akabadilisha kanuni za mpira zikiruhusu kununua...
2 Reactions
2 Replies
724 Views
Ivi CHADEMA KWANINI BADO MNASIMMISHA WAGOMBEA KWENYE HIZI CHAGUZI NDOGO WAKATI MWASEMA NI UBADHIRIFU WA KODI ZETU.. GOMENI KUSIMAMISHA WAGOMBEA TUOKOE PESA KAMA KOROGWE VIJIJINI Sent using Jamii...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Leo baada ya kupata wali nazi sato wangu asante kwa ushauri wa Demiss nlimsinndikiza mgeni wangu nakurudi kijiweni kuwaeleza wana mchezo ulivyojiri. Sasa bwana kijiweni pale nmekuta story mwanangu...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…