Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haya mambo yanayoendelea sasa ya polisi "imewakamata majambazi sugu, kisha kuhoji na kwenda kuwapekua nakuwakuta na silaha a, b, c...alafu unaambiwa mmoja ya majambazi hayo alijaribu kumkaba...
12 Reactions
72 Replies
7K Views
Iko hivi,mabishano makubwa sana yameibuka ndani ya wanajamii juu ya upande upi wa barabara ambao mtembea kwa miguu yampasa apite ili asiweze kupata ajali ya kugongwa na magari yajayo nyuma yake au...
1 Reactions
11 Replies
12K Views
Chunguza sana simu yako ni nani anakupigia na nani unampigia!?. Unaongea kuhusu nini?,wao wanaokupigia wanaongea na wewe kuhusu nini? Kama wewe ni mtoto wa mjini utakubaliana na Mimi unahitaji...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Za leo wadau. Hapa Mshangano kumekuwa na huu mchango wa shilingi elfu sita kwa kila kichwa ili kujenga shule. Shule imeshajengwa na sasa kuna makerebisho madogomadogo kama kuongeza madarasa na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Serikali hapa nchini kupitia Ofisi ya TAMISEMI, imeamua kutoa pikipiki kwaajili ya Waratibu Elimu Kata katika halm hapa nchini Lengo in kuongeza ufanisi wa kazi, ambapo awali Waratibu Elimu Kata...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Bank yangu pendwa mwez uliopita nilipata kushuhudia Idadi kubwa ya wateja kwenye moja ya matawi yenu Dsm lakin idadi ya watoa huduma ni ndogo sana(mfanyakazi mmoja anasubiriwa na foleni ya watu...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
*DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA* Mkuu wa wilaya ya Arumeru *Mh.Jerry Muro* amefanya ziara ya kushtukiza katika baranara ya mchepuko *Arusha Bypass* katika eneo la *muungano Makumira* na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu Ahamed ndiria alianzia NBC,Na sasa NMB akifanya kazi dar salaam,Manyoni,Kibondo,Mwanhuzi na sasa Misungwi jijini Mwanza, Ndio aliosababisha maendeleo makubwa hadi ya kuanza kutumika kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia Bwana Nalogwa John mkazi wa kijiji cha Mgundu kata ya Kyengege wilayani Iramba, kwa tuhuma za kumlawiti huku akiwa amemkaba shingo hadi kufa...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Hati miliki ni suala bora endepo tutalipata kwa wakati hasa sie wanasanaa tuliopo mikoani. Tanzania ni moja hivyo taasisi maususi kama Cosota ni vyema ikiwa kila mkoa Tanzania. Niliwatumia ujumbe...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Nimeona Video mbalimbali na kugundua ndege aliyokua akitumia Rais Mstaafu na Hii ya sasa ya awamu awamu ya tano ni Tofauti kabisa. Nikajiuliza ...iko wap wap ndege ya ile ya Jakaya ? Sent using...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni jambo la kuskitisha sanaa mwenye mali amepumzika anajua ameacha wafanyakazi ofisini Leo tulipeleka watu pale nyegezi kituoni kwenye hii hotel arround 0530am tukakuta mlinzi yuko reception...
6 Reactions
48 Replies
8K Views
Mfuko mmoja wa CEMENT kutoka Tsh 12,500 mpaka kufikia Tsh 15,500 mpaka 16.000 Adi 19,000 itategemea na eneo kwa hali hii watanzania tutegemee maendeleo ya hali ya juu.......... Sent using Jamii...
3 Reactions
48 Replies
7K Views
Nimegundua ya kwamba watu wengi huwa na hasira kali au ya kawaida, na sehemu ya kupeleka hasira zao hukosa kabisaaa, hivyo basi hupelekea kujenga chuki ndani ya mioyo yao na madhara yake ni kuumia...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Binadamu hatujakamilika,ukienda bank chumba cha kuhifadhia pesa(strong room)lazima muingie wawili,ktk ghala LA silaha lazima muingie wawili,sasa sina imani MTU awe mmoja maabara anichukue kipimo...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Ilinitokea miaka karibu 17 iliyopita.Nikiwa nimechoka sana,natoka katikati ya jiji nikiwa na vyeti vyangu Original vya shule,kidato cha nne na cha sita,cheti cha chuo pamoja na transcript...
194 Reactions
221 Replies
22K Views
Yaani kule Nida Magomeni hata kitambulisho kiko tayari kukipata unaweza kukaa masaa 6. Jamaa mmoja kilikuwa tayari lakini miaka 3 hakutokea sijui alisafiri akaambiwa cha zamani bora ajaze upya...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Massage unaboa, hiyo ni taarifa ya habari sio michezo. Unapaswa kuongea in summary tu, Ku sumup taarifa ya habari. Sio wote ni wanamichezo. Sasa baada ya habari, mnajadili kama spoti leo. Please...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
DJ wengi hawajui jinsi ya kupanga sauti za mziki ili zisiathiri masikio ya hadhira zao. Kelele za mziki makanisa huwa za kiwango cha juu sana. Kutokana na ukweli huu watu wengi huumia masikio...
1 Reactions
0 Replies
738 Views
Kama ilivyo kwa vitu vingine, viatu lazima viwe viwili ili viitwe pea, na watu wakizaliwa wawili wanaitwa mapacha, je! Wakizaliwa watatu wataitwaje? Wajuvi wa mambo tafadhali Sent using Jamii...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…