Hasira na chuki zako zote nipe mimi

Hasira na chuki zako zote nipe mimi

jitwangabalogi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2018
Posts
480
Reaction score
640
Nimegundua ya kwamba watu wengi huwa na hasira kali au ya kawaida, na sehemu ya kupeleka hasira zao hukosa kabisaaa, hivyo basi hupelekea kujenga chuki ndani ya mioyo yao na madhara yake ni kuumia kwa mioyo yao.

Hivyo basi kwa yeyote mwenye hasira zake za aina yeyote ile anaweza kuziweka/kuandika hapa, Naam ....naombeni msadiki ya kwamba hii ni sehemu murua ya kuweka hasira zako zote ulizonazo nami nitazipokea kwa moyo mkunjufu na moyo wako utakuwa na amani.

Amani ya bwana wetu iwe pamoja nasi sote,
#AMOUN.
 
Ni hisia tu ya muda mrefu au mfupi (Aggressive )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom