JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
*DC MURO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA*
Mkuu wa wilaya ya Arumeru *Mh.Jerry Muro* amefanya ziara ya kushtukiza katika baranara ya mchepuko *Arusha Bypass* katika eneo la *muungano Makumira* na kubaini uwepo wavitendo vinavyoashiria ukiukwaji wa taratibu za kazi na haswa katika kazi zinazofanywa na *RAIA* kutoka nje.
*Mh Muro* Pamoja nakuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo itakayosaidaia kupunguza msongamao wa magari kuelekea *Jijini Arusha* ameonyeshwa kukerwa na tabia ya baadhi ya wageni kufanya kazi zinazoweza kufanywa na *watanzania* jambo linaloendela kuminya fursa ya vijana wa *kitanzaia* kupata ajira.
Kutoka na sababu hiyo *Dc Muro* alilazimika kuchukua hatua ya kuwaagiza maofisa wa *Uhamiaji* kufuatilia suala hilo jambo lililopelekea kubainika uwepo wa *RAIA Tisa* ( 9 ) wa kigeni wanaofanya kazi hizo pasipo kuwepo na baadhi ya vibali husika vya kufanya kazi.
Katika ziara hiyo *Dc Muro* aliambatana na *Naibu katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhandisi Steven Mlote* ambao ni waratibu wa ujenzi wa Barabara hiyo.
*Dc muro* anaendelea na zoezi la ukaguzi wa miradi mbalimbali ya ujenzi katikaa wilaya ya Arumeru yenye kata 53 na Halmashauri mbili za Arusha Dc na Meru Dc.
*Imetolewa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meru*
*#ArumeruYetu*
*#WakatiWetu*
*#MeruYetu*
Sent using Jamii Forums mobile app