Kisambo
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 850
- 531
Bank yangu pendwa mwez uliopita nilipata kushuhudia Idadi kubwa ya wateja kwenye moja ya matawi yenu Dsm lakin idadi ya watoa huduma ni ndogo sana(mfanyakazi mmoja anasubiriwa na foleni ya watu zaid ya 40?
Hata kama ni kubana matumizi ya fedha kwa kuogopa kuajiri ma bank Teller wengi huku ni kuwaumiza wateja wenu...
Leo ni mara ya pili kwenye moja ya Mabank yenu hapa Arusha hayajali muda kabisa...mteja anasimama kwenye foleni kwa zaidi ya saa moja na nusu?
Msipojirekebisha kwa mambo kama haya mtazidbkushuhudia kuporomoka kwa faida...
Nawasilisha