Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa Serikali kuipa uzito Siku ya Familia Duniani kwa kutambua mchango mkubwa...
Hili shirika lina kila kitu, Lina minara wilaya zote, mtandao unakamata maeneo karibia yote Tanzania
Wana ofisi nchi nzima lakini wameshindwa kabisa kuliteka soko la Watanzania
Wanahujumu taifa...
Ndugu zangu vita inayoendelea Irani imesababisha upandaji wa bei ya nishati kitu ambacho kimesababisha mfumuko wa bei kwenye bidhaa karibu zote,kwenye uchumi gharama za nishati/mafuta/gas...
Akizungumza katika kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV, Reagan Mpogolo amebainisha kuwa idadi kubwa ya vijana iliyopo sasa inapaswa kutafsiriwa kuwa ni fursa ya uzalishaji na si mzigo kwa...
MTATIFIKOLO: NITAENDELEZA YOTE YALIYOACHWA NA HAYATI WILLIAM LUKUVI.
Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani Ndg. Emmanuela Mtatifikolo ameendelea na kampeni kuelekea Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani...
Kinachotakiwa sasa ni kumwaga mkojo nje sio kuzuia ndani kwasababu utaharibu figo
Hata White wasipoingia ndani bado watafikishiwa taarifa zote huko waliko
Wengi washazuia wamechoka wameamua kukimbia
Kwema Wakuu.
Yamenikuta majanga wakuu mpaka kufikishana polisi then baadae mahakamani kwa Madai ya wizi(mashine za kampuni). Ilinipa changamoto sana katika hatua za mwanzo kutatua hii...
🔷 Serikali chini ya Samia yaendelea kusimamia mageuzi makubwa ya nishati.
🔷 Tanzania yajikita kuwa nguzo muhimu ya usambazaji wa umeme kikanda.
🔷 Uzalishaji mkubwa wa umeme kuimarisha viwanda na...
Mimi ni mwanakaya wa familia iliyotoa eneo la shamba kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda kupitia makubaliano na Serikali ya Halmashauri mwaka 2019.
Kupitia makubaliano hayo...
Hapa google wame suggest maoni binafsi ya bwashehe, pia wame suggest kichwa cha habari cha mada niliyoiandika professa
Fikiria kwamba ukiandika ujinga humu Jukwaani, je baadae mtoto akienda...
👉 China imeonekana kutumia mbinu ya kipekee ya kidiplomasia kwa kubadili jina la Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, kuwa "Marco Lu" ili kurahisisha safari yake ya kuingia nchini humo.
👉...
Mwanza. “Changamoto ya ngazi na vyoo, halafu kuna mawe, kwa hiyo ukienda vibaya unaweza kujikwaa. Katika ufaulu mtu asipofikisha wastani wa 64, anapata viboko, wakati huku mwanzo hajapata vitabu...
Wakazi wa Kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro, wameendelea kuishi katika mazingira yenye hatari kubwa za kiafya, kiusalama na kimazingira kufuatia kutofanyiwa usafi wa mara kwa mara maeneo...
Kufuatia majukumu ya Jeshi la Polisi kama yalivyoainishwa katika Ibara ya 147 (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sura ya 322 ya Sheria ya Jeshi la Polisi na Polisi Wasaidizi...
Habari wakuu!
Kwa wale wazoefu wa maeneo ya Morogoro na Arusha, naomba kujua sehemu nzuri ya utalii, kufanya refreshment kama Taasisi, au family yenye ubora na huduma zote namaanisha kuanzia...