Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi katibu Wa wanaume; kwa tangazo hili nawasihi wanaume wenzangu, Afe kipa Are beki Tudumishe kurinda Aman, Popote uonapo kuna mtu anaonewa Pambana kuhakikisha unaokoa, Acheni Uoga ndugu zangu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Moto mkubwa umeteketeza kabisa hotel za Whitesands na Sunset zilizopo katika ufukwe wa Nungwi huko Visiwani Zanzibar. More updates to come... Source: ITV
0 Reactions
37 Replies
6K Views
1. Seychelles hawahitaji Visa kuingia katika nchi 129 2. Mauritius hawahitaji Visa kuingia katika nchi 125 3. South Africa hawahitaji Visa kuingia katika Nchi 94 4. Botswana hawahitaji Visa...
6 Reactions
29 Replies
7K Views
Kiukweli mnanisumbua sana kwani mmenifanya nishinde tu na Taulo na Mswaki wangu mdomoni mpaka Saa nane ( 8 ) hii huku nikizunguka zunguka tu Sebuleni Kwangu kusudi nisikose matangazo yenu ya...
35 Reactions
131 Replies
16K Views
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Bw. Ndodi Galamji, kwa tuhuma za kumiliki kikundi cha waharifu kilichopata umaarufu kwa kuitwa 'Jeshi la Sanjo' kilichokuwa kimejiwekea miliki yake na...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Ukiwa mzazi, hutampenda tu mwanao bali pia utamtakia heri. Hata mimi, sitaki mtu anipende tu, bali nimwone pia akinitakia heri. Upendo wenye kutakiana heri ndiyo hasa upendo wenyewe. Ni upendo...
13 Reactions
60 Replies
9K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewatoa nje Makamanda zaidi ya 30 kwa kosa la kutaja Jeshi la Zimamoto bila kumalizia ‘na Uokoaji’ ambapo amesema hilo jeshi lao halitambui. Hali...
9 Reactions
64 Replies
9K Views
Sijui kama hizi Honi Za Daladala aina ya Eacher ni rafiki wa mazingira! Ki ukweli wamiliki ingepaswa wabanwe wazibadilishe, nahisi nguvu yake ni zaidi ya mahitaji na ni hatari kwa afya. Leo kuna...
9 Reactions
13 Replies
3K Views
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imemkataa mkurugenzi mpya wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dk. Kien Mteta, aliyeteuliwa na kanisa hilo kushika nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Hospitali hiyo...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Utapeli ni janga ambalo limeumiza na linaendelea kuumiza watu wengi sana katika jamii. waathirika wa utapeli ni watu wa kada, jinsia na wazifa tofauti katika jamii bila kujali uwezo wa kiuchumi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Yanasemwa mambo mbalimbali kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Ni juu ya hatma yake kama Mkuu wa Mkoa kufuatia sakata lake la makontena yanayoshikiliwa na TRA ambayo yatapigwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika kile kilichoelezwa kuwa ni kijenga mahusiano mema na pia kuendeleza michezo, timu za mpira Jeshi la Magereza na Polisi leo zitakutana kugombea Mbuzi mnyama. Mbuzi huyo ametajwa kuwa wa...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
1.Elimu 2.Maradhi 3.Umaskini Kukosa maji kununua ndege ni sawa kurudia uchaguzi kukosa madawa na maabara za kutosha ni sawa kipaumbele n nn amakwl ipo siku mtakosa ahadi na ilan zenu sijui...
0 Reactions
2 Replies
513 Views
Sisi kama Wananchi wa Vijiji Sita vilivyouziwa Shamba hili tunaishukuru sana Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe. John Pombe Magufuli kwa kumnyang'anya Ndugu Otieno Igogo HATI ya shamba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunafundishwa kuwa hakuna dhambi isiyosamehewa kwa Mungu hata kama iwe nyekundu kama damu. Mpaka mtu achukuwe uwamuzi wa kuwa mtawa lazina sehemu hii ya msamaha wa dhambi inaifahamu vizuri kuliko...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Niaje wadau,niko Lushoto leo siku ya pili,licha ya kuwa huu mwezi August/Septemba si msimu wa baridi but ishu niliyokutana nayo kama ndo hivi huo mwezi june sijui inakuaje cheki nyuzi joto hilo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za ijumaa mabibi na mabwana katika jukwaa hili? Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza swali hili bila kupata majibu, naomba wenye uelewe watueleweshe ili kwamba kama kuna wengine wenye kutaka...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimeiona fb hii sent using samsung galaxy s8
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Twenty seven Tanzanians will be deported following their arrest in Mombasa as part of the nationwide crackdown on illegal immigrants. Security agents in the county handed them over to the...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukifika maeneo mbalimbali ya vijiji nchini Tanzania utakutana na maafisa watendaji wa vijiji hivyo ambao wengi wao ni wazee pia hawana utaalamu wowote kuhusu maendeleo katika jamii. Hakuna...
0 Reactions
4 Replies
688 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…