Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajukwaa! Nijikite kwe Mada tajwa moja kwa moja. Najua TBS ipo kulinda maslahi ya nchi hususani katika bidhaa za ndani na za nje zinazo ingia Tanzania. Kila nchi najua ina Specifications...
0 Reactions
4 Replies
809 Views
Watu wote tunakumbuka enzi za shule ya msingi,tulifurahia mapumziko ya mwishoni mwa juma kwa kucheza michezo mbalimbali iweje international school wasipumzike kama wenzao wa shule za serikali...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakati shule zote zikiwa zinatakiwa kubuni adhabu zisizodhuru wanafunzi hata kusababisha maumivu na madhara mengine kwenye mwili wa mwanafunzi ,walimu wawili katika shule ya msingi Mchanganyiko...
0 Reactions
191 Replies
16K Views
leo nimeenda baa naambiwa kilimanjaro ndogo 1700 ni kweli?
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Kuna tofauti kati ya kupambana na ufisadi na kupambana na mafisadi. Ukipambana na ufisadi, utaagusa mfumo wa sheria, na ikibidi kubadili au kurekebisha katiba. Sheria zitakapokuwa imara, na...
3 Reactions
4 Replies
829 Views
Kitu ambacho hakinivutui kwnye IG account nihiz page za kibongo zenye mambo negative asubuhi mchana jioni, yaani unafungua IG option wanazo wao wenye za ni nn watakuonyesha , unakutana na Umbea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu,kuna kipindi hii kitu inayoitwa bitclub ilikuwa ikivuma sana humu ya kuwa ukinunua kifurushi aina flani utakuwa unapata package flan kwa mwezi. Kuna watu walikuwa wanatamba humu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Ananiambia nisiumie kwa mambo ya kisiasa. Ananiambia kama wanaiba wameanza kuiba tangu lini, mbona tunaishi tu, ukilima ukipanda unapata chakula unashiba. Siasa zikianza kuiba na mvua tutakuja...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Jamani!! habari wandugu baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama...
1 Reactions
243 Replies
36K Views
Watu wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa usiku wa kuamkia leo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuwaka moto huko Dunga Gari hilo aina ya Toyota IST lililipuka baada ya tenki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tunajua yule aliemfufua bwana Yesu, Atatufufua sisi pamoja na Yesu na atatuweka mbele pamoja nanyi;: Huyo ana wafufua atakuwa nani? Wakati Yesu ndo Mungu? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu.......... Kwa kipindi kirefu kumekua na kampeni za uhamasishaji juu ya upimaji wa afya.... Kama mjuavyo kwasasa kuna hii kampeni iliyozinduliwa na Mh Waziri Mkuu inayo wahamasisha...
0 Reactions
7 Replies
785 Views
Hawa jamaa wanazidi kuushangaza ulimwengu na kutuangusha wanaume Hata neno robo tatu hawawezi kusema wanaita nusu na robo Dume zima linaenda dukani kununua unga linasema"naomba unga nusu na...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Aise kuna ile video jamaa anashushiwa rungu na mgambo wa makonda. Huwezi amin wanaume wapo tu wamekuja mikono, bora hata yule mama alokuwa anapiga kelele. Aise Hamna msaada kabisa mtu anaweza...
16 Reactions
72 Replies
6K Views
Namanisha wengi wetu tuko na imani tulizonazo @ ni kwa sababu tumezaliwa tukakuta wazazi wanaamini na wakatuaminisha. Imani hizi zimefunga watu wengi kiasi kwamba ni ngumu kuona mbele hata km ni...
0 Reactions
2 Replies
672 Views
Naitwa MISHALY SUMARY naishi Kibaha Maili moja, nilikuwa nikifanya kazi katika Hospitali ya Burere kama Muuguzi kuanzia mwaka 2008 mpaka tarehe 26/12/2011 siku ambayo sitaweza kuisahau katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi, Nasafari ya siku 3 mjini moshi, kwa wenyeji wa mji huo naombeni kufahamishwa sehemu za malazi(lodge/hotel) za bei nafauu kuanzia Tshs. 20000 hadi 30000. Asanten
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu habari, Kama sikosei tangu majuzi kumekuwa na tatizo la thread moja kupostiwa zaidi ya mara moja,mda mwingine hadi mara tano thread hiyo hiyo,mtoa mada huyo huyo,muda huo huo na jukwaa hilo...
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Habari wakuu!! Mimi ni Mkristo. Tena si yule Mkristo wa kufuata miujiza au wa kufuata mkumbo. Ni mkristo ninayefuata misingi ya maandiko matakatifu kama yanavyosema bila kujali ni nini naamini...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa namsikiliza vizuli huyu mchungaji azambi mahubili yake yakirushwa kupitia redio kuna somo alikuwa anaelezea kuhusu mambo ya uchawi na kurogana lakini kitu ambacho nimekisikia ni kwamba Na...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…