Bia ime panda bei?

Bia ime panda bei?

Kweli imepanda,k'njaro ndogo 1,700 badala ya 1,500
 
Inategemea bar na bar mkuu, nilikuwa Mwanza Villa Park Club zinauzwa buku 2 lakini ukiwa upande wa bar ni 1500, wakati huo huo ukienda Cheeters ni 1700 na Diamond Resort wanauza 1500,, TBL na SBL walishashindwa kusimamia bei maalum si ajabu kuna sehemu zinauzwa buku buku tu..
 
Write your reply...
Hata ikifika elfu tatu tutakunywa tu coz ndio starehe yetu.
 
Back
Top Bottom