Mwalimu wa Dar es Salaam

Mwalimu wa Dar es Salaam

Kidevu 1

Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
94
Reaction score
63
Muheshimiwa mkuu wa mkoa mimi ni mwalimu wa mkoa wako kuliko kutuletea hizo sofa bora utujengee madarasa. Mwaka huu wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa 80-85 kwa chumba na ni shule ya mjini. Hali ni mbaya.
Ahsante.
 
Amewaletea sofa muangushe pozi na kuchati halafu zero ziongezeke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuchagua ccm tu itafika wanafunzi 200 darasa moja.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kilio chako peleka NEC izuie chaguzi marudio ka kuupembua mchele wa mawe
 
Back
Top Bottom