Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,284
- 5,505
Amani iwe nanyi wana JF.
Binafsi sipo dar na nina uhitaji wa kusikiliza neno la mtumishi wa Mungu bwana GWAJIMA hapo siku ya jumapili.
Hivyo basi naombeni namna au mbinu zipi nitumie ama link kwa ajili ya ibada ya tarehe 2 septemba 2018.
Proudly sponsored by
RUDI NYUMBANI KUMENOGA!