Kwa wenyeji wa jiji la Makonda tunawaomba sana mtujulishe pindi mabadiriko ya matumizi ya ardhi, barabara na miundo mbinu mingine ili kutuepushia dhahama wenzenu wa mikoani. Nikifika Dar mara...
Moja hutangaza mavazi ya kiafrika na mitindo mbalimbali,wao kama kioo wanawake wengine wangevutiwa na mavazi yao na kuwapa ajira mafundi nguo kushona mitindo hiyo
Mbili huenda ikawa bahati njema...
Wana JF,
Usafi wa jiji ni jambo zuri sana likiwa nimepata msimamizi mzuri. Matatizo ya usafi yanaanzia haswaa mpangilio mbaya wa JIJi la Dar es Salaam, kuanzia mitaro, barabara, kuachwa kwa...
Kwanza alidanganya kwamba aliingiza mzigo wenye vifaa vya shule kumbe ndani kuna matrekta na mashine za kunyunyizia dawa shambani. Hivi sio vifaa vya walimu wa Dar es Salaam.
Pili.. Yeye kama...
Nauliza tu...
Maana hata ile statutory annual increments aliyoahidi mwenyewe kwa kinywa chake kwenye mei mosi pia Hadi leo hakuna!!
Mheshimiwa Kama ulisahau tunakumbushia tu hatuna Nia mbaya...
Mgambo aliyempiga mwananchi kisa eti faini ya Sh elfu 50 za usafi amechokonoa hasira za wananchi na chuki waliyonayo dhidi ya watendaji wa Serikali hii hasa katika ngazi za chini.
Hakuna...
Habari, kama kichwa cha habari kisemavyo nina mpango wa kwenda Misri Kutazama Pyramid na kufanya utalii kwa Takriban wiki moja, Naomba kujua wastani wa gharama za huko wa wale ambao washapata...
Naandika nikiwa na masikitiko makubwa kwa kinachofanywa na Mamlaka ya Maji Mjini Bukoba (BUWASA) kwa baadhi ya wateja wao (hususani mimi) kwa kutoza bill kubwa za maji. Hii kampuni ilipita baadhi...
Kipindi nakua na kuishi huko kijijini kwetu hakika ukoma ulkuwa ni ugonjwa ulioogopeka sana ..uliwekwa ktk hadhi sawa na UKIMWI na watu waliamini hakuna dawa za hospitali zinazoweza kuutibu...
Kwa tukio lile tumeumizwa wengi, tena kwa tuliobahatika video ya ushahidi toka kwa mmoja wa wanafunzi wenzake na marehemu walioshuhudia, kweli inatia simanzi kubwa!
Nimewaza tu sijui itachukua...
Jaji mkuu wa Tanzania, prof. Ibrahim Juma, amewataka mawakili wa serikali kutafuta suluhu ya kesi nje ya Mahayana badala ya kung'ang'ania mahakamani wakati wakijua hawawezi kushinda. Prof. Juma...
Tumezoea kuona kwenye filamu za kimagharibi, actors wakiwa maroboti au wakiwa wamevaa viungo bandia. Hata hivyo, huwezi katika maisha ya kiraia nje ya filamu walinzi binafsi kuvaa viungo bandia...
wakuu wilaya za same na mwanga naona ndizo wilaya masikini kwa hapa TZ. Ardhi imechoka katani zimedumaa kila nikijaribu Maisha naona yanagoma. Wachaga na wapare au ndo kisa cha kujaa dar. Nipeni...
Leseni yangu ya udereva iliisha hivyo nikaenda kuirenew karibu mwezi mmoja umeshapita. Pale TRA Samora kila nikienda wananiambia material hakuna lakini naona wengine wanavipata kama kawaida...
Madikteta EA watapeta siyo kawaida.
Stunning anti-ageing breakthrough could see humans live to 150 and regenerate organs by 2020 'for the price of a coffee a day'
Polisi wanadaiwa kumpiga kwa risasi na kumuua, mtu aliyekuwa kwenye gari aina ya canter, baada ya dereva wa gari hilo kukaidi amri ya kusimama.
Katika tukio hilo lililotokea jana mchana, eneo la...
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubairy Bin Ally, leo Agosti 31, 2018 amemtembelea na kumuombea dua maalumu Waziri wa Utalii na Maliasili Dr. Hamisi Kigwangalla ambaye anapata matibabu katika...