Hatimaye binadamu Kuishi zaidi ya miaka 150

Hatimaye binadamu Kuishi zaidi ya miaka 150

Ngoja nipite hivi nisije chezea burn
 
Sasa ndio umeandika nini.?

Kusini ndio Kuishi.![emoji15]
Naona anahabarisha juu ya utaalam wa kutumia NAD(Nicotinamide Adenine Dinucleotide) precursor pills kukabiliana na Uzee! ulioibuliwa na Prof. David Sinclair wa Harvard University.
 
Tuache utani. Watu wenye madaraka na mabepari watasanifu sana watu!

Kikongwe cha miaka mia kinajirudisha 30, na unakitokea kukitongoza na kukichumbia!
Na unakioa kwa mahari kubwa kama kawaida, dah!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom