Safari ya kwenda Misri kufanya utalii inacost Kiasi gani

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,708
1,553
Habari, kama kichwa cha habari kisemavyo nina mpango wa kwenda Misri Kutazama Pyramid na kufanya utalii kwa Takriban wiki moja, Naomba kujua wastani wa gharama za huko wa wale ambao washapata Fursa ya kwenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea unataka kwenda wapi kama ni Cairo $1500 inatosha kama unataka kwenda na sehemu zingine kama Luxor au Aswan andaa $2000 alafu pia ungeangalia na zile tour packages zao zimeeleza kila kitu
 
Back
Top Bottom