washwa washwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 1,613
- 728
Naandika nikiwa na masikitiko makubwa kwa kinachofanywa na Mamlaka ya Maji Mjini Bukoba (BUWASA) kwa baadhi ya wateja wao (hususani mimi) kwa kutoza bill kubwa za maji. Hii kampuni ilipita baadhi ya nyumba na kubadili mita za maji, lakini bill za maji zinazotokana na mita hizo Mpya ni kubwa sana. Mathalani kwangu kabla ya kubadili mita bill ilikuwa kati ya sh 15,000 - 30,000. Baada ya kubadili bill ni kati ya sh 100,000 - 200,000.
Nimejaribu kufanya analysis ndogo kwa kujaza tenki la lita 1,000 ambayo ni unit moja lakini kujaza hilo tenki kwa mita mpya zilienda unit 10.
Nimejaribu kulalamika lakini naambiwa nilipe kwanza deni.
Sent using Jamii Forums mobile app