wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,530
Wakati umefunga gari yako, wanaweka sarafu katika lock ya mlango wa abiria.
Utakapoondoa gari yako hakuna kitakachotokea ila utakaposimama na kutoka nje ya gari lako ukilock,system ya lock ya gari yako haitafanya kazi yake vizuri hivyo kuacha gari ikiwa wazi.
Wezi waliotegesha hiyo sarafu watakufuata mpaka utakaposimama na kupaki gari yako, ukiondoka wao wanafungua na kuchukua chochote watakachokuta kwenye gari yako.
USHAURI:
Unaposhuka katika gari yako na kulipaki, hakikisha kuwa milango yote imefunga.
Ni haki yako kufika salama
Sent using Jamii Forums mobile app