Tanzania tuwaige Korea kusini

Tanzania tuwaige Korea kusini

batmanwafez

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
882
Reaction score
1,364
Habarini wadau, kila nchi ina vitu vizuri na vibaya vyake ila sio mbaya mtu kufata na kuiga mfano wa vile vitu vizuri.

Kwa mfano hii sheria ya korea kusini inayotaka raia wake wote kabla ya kufikisha miaka 28 wapitie mafunzo ya jeshini kwa miaka miwili...labda tu wawe wameletea sifa taifa lao kupitia michezo

Binafsi kama mwanamichezo niliipenda sana kwa sababu inawapa vijana moralii ya ushindani, sio tu kwenda kwenye mashindano bila malengo yoyote.

Ningependa sana siku moja hii sheria ipitishwe[emoji16]View attachment 853947

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutaongeza vibaka tu mtaani na ubabe usiokwisha. Mtu aende jeshi miaka 2 halafu arudi tu nyumbani kukaa unafikiri nini kitatokea? Kukuza michezo hakuhusiani kabisa na kwenda jeshi.

Ukweli ni kwamba sisi michezo hatujui na sio vipaji vyetu tunaiga tu tuangalie shughuli nyingine.

Akili na utashi wa kwetu ni tofauti Sana na wawo.
 
Leo shida za walimu siyo jambo la maana tena ,,
Ila kumshughulikia Makonda kwa picha za uongo za Trekta na sofa ndiyo kipaumbele cha taifa!!

Ngozi nyeusi ni hovyo kabisa hasa Chadema muda mwingi hawanaga taarifa sahihi kazi kubwabwaja tu na kudandia mambo wasiyoyajua.

Mada iliyoletwa na majibu yako hata haviendani punguza mihemko ya kichama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo shida za walimu siyo jambo la maana tena ,,
Ila kumshughulikia Makonda kwa picha za uongo za Trekta na sofa ndiyo kipaumbele cha taifa!!

Ngozi nyeusi ni hovyo kabisa hasa Chadema muda mwingi hawanaga taarifa sahihi kazi kubwabwaja tu na kudandia mambo wasiyoyajua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe ndo umeonesha uafrika halisi....mada inaongelea vingine wewe unaanzisha mada yako ndani ya mada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo shida za walimu siyo jambo la maana tena ,,
Ila kumshughulikia Makonda kwa picha za uongo za Trekta na sofa ndiyo kipaumbele cha taifa!!

Ngozi nyeusi ni hovyo kabisa hasa Chadema muda mwingi hawanaga taarifa sahihi kazi kubwabwaja tu na kudandia mambo wasiyoyajua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa
 
Mchepuko wa DAB ukishikishwa ukuta unapoweweseka
 
Tutaongeza vibaka tu mtaani na ubabe usiokwisha. Mtu aende jeshi miaka 2 halafu arudi tu nyumbani kukaa unafikiri nini kitatokea? Kukuza michezo hakuhusiani kabisa na kwenda jeshi.

Ukweli ni kwamba sisi michezo hatujui na sio vipaji vyetu tunaiga tu tuangalie shughuli nyingine.

Akili na utashi wa kwetu ni tofauti Sana na wawo.
Mafunzo ya jeshi yanafundisha raia kupenda nchi yao na pia kuwa na nidhamu...hao wanajeshi wakifuata ethics zao mbona wanakua na nidhamu tu.

Kidogo hio sheria itakuza hamasa ya wanamichezo kujituma zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo shida za walimu siyo jambo la maana tena ,,
Ila kumshughulikia Makonda kwa picha za uongo za Trekta na sofa ndiyo kipaumbele cha taifa!!

Ngozi nyeusi ni hovyo kabisa hasa Chadema muda mwingi hawanaga taarifa sahihi kazi kubwabwaja tu na kudandia mambo wasiyoyajua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh hatari sana mkuu...hilo povu si ukafulie nguo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kila kiz uri kwa mwingine basi ni kizuri kwa wote-moja ya sababu ya huo utaratbu wa huko S,K kupitia jeshini ni kutokana na uhasama baina yao na ndungu zao N.K.
Kwa Tanz ania huo utaritibu upo lakini budget ya nchi haitoshi kumpeleka kila mtu huko,pili ni swala la ajira ukiangalia unemployemnt rate ya S,K na Tz ni vitu viwili tofauti ukiwapeleka watu huko alafu usiwape kazi si utafuga taifa la watu majambazi?
 
Ushafanya Analysis ya Madhara ya Watu kwenda Jeshi bila wao wenyewe kupenda?

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo linaanzia hapo, naamini kama sheria ile isingepitishwa kikatiba basi wakorea wengi wangelisusia kutumikia jeshini kwa miaka 2.
ipo mifano mengi ya korean celebrities kudanganya taarifa zao za kiafya na kiumri ili wasipate kwenda kutumikia jeshi kwa mfano song seung heon mnamo mwaka 2004 alidanganya vipimo vya afya kwa kudai ana ugonjwa wa sukari na high blood pressure lakini baadae serikali ikagundua jamaa kadanganya taarifa.
miaka miwili ya jeshini ina maana hufanyi kazi yoyote ya uzalishaji na leo hii watanzania hatuendi jeshini na vyuma vimekaza kwa vijana walioko mtaani kwa kukosa vyanzo vya kujitengenezea kipato.
song-seung-heon.jpg
 
Back
Top Bottom