ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Mtu mmoja mkazi wa Image Kigwa mkoani Tabora jana amenaswa na polisi kwa kutuhumiwa kumiliki kiwanda cha kutengeneza silaha aina ya gobore, mtuhumiwa amekiri kuwa amekuwa akifanya shughuli hiyo kwa miaka mingi sasa na kuwauzia wateja mbalimbali kutoka ndani na nje ya mkoa
Nilichowaza mimi kwa serikali hii ya viwanda huyu mtu angeangaliwa asaidiweje ili kipaji chake kuleta tija kwa taifa ikizingatiwa Tanzania ya sasa ni ya viwanda, ki uzoefu gobore mara nyingi hutumiwa na Wana vijiji kwa kuwinda porini ni agharabu mtu kufanya uhalifu kwa bunduki hiyo
Huyu mtu angepewa mwanga zaidi ikiwezekana apelekwe hata nje ili kupata ujuzi zaidi ili sasa aje aitumikie serikali kwa maana apewe hata ajira katika jeshi la polisi.