Bado Naitafakari Kauli ya JPM UKICHAA

Bado Naitafakari Kauli ya JPM UKICHAA

Sumu Boy

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
206
Reaction score
218
Kwema Wadau
Katika hali ya kawaida ukimuita rafiki yako kichaa wangu inamaanisha ni rafiki wa kweli lakini kwa kauli hii aliyoitoa huyu Mkuu wetu wa nchi bado inanitatiza maana anasema aliamua amtafute waziri wenye ukichaa kichaa kama yeye ndiyo akampatia hicho cheo sasa kama Rais anaukichaa na sisi wananchi ni wazima kweli tunakubali kuongozwa na kichaa au ndo mimi sijamuelewa
 
Kwa kuwa Rais wetu ni msema kweli basi bila shaka na hili ni kweli pia.Nampongeza sana kwa hilo,msema kweli ni mpenzi wa mungu..
 
Mtu ukiwa unajiita majina ya ajabu ajabu huwa tunaamini una matatizo ya akili.
 
Ule utafiti ulikuwa sahii, kila walipo ......mmoja ni kichaa.
 
Back
Top Bottom