Msaada wa kidogo chochote ulichonacho; Nasumbuliwa na madonda mkono wangu wa kulia umepata uvimbe na misuli imevimba

Carbondioxide

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
733
194
Habarini wanaJF!!!
Nadhani wazima wa afya njema.

Poleni na harakati za kutafuta na maisha popote pale ulimwenguni Mwenyezi Mungu atusaidie,Ammyiin!!

Ujio wangu na kuja kuandika thread hii kwaajili ya kuja kuwaomba kidogo chochote ulichonacho nasumbuliwa na madonda mkono wangu wa kulia so umepata uvimbe na misuli imevimba kuanzia kisigino cha mkono,vidoleni pamoja kisigino cha mkono,nashindwa kuweka picha umu na hapa natumuia JamiiForums ya bure kwa kutumia Freebasic.

So wanaJF nawaomba mchango wenu angalau nikatibiwe hospitalini maana naumivu ninayopata hata wakunisaidia hakuna.

Maumivu haya niliyapata kwa kuanguka chini ya simenti.Naomba msaada wenu mwenye maoni ushauri basi usisite nitajibu nikipata wasaa so nafanya hivi sababu maumivu ninayopata Mungu Mwenyewe ndo anajua na hapa naandikia mashoto.
Mwenye msaada basi utaniPM
Poleni kwa usumbufu.
Ahsanteni.
 
Habarini wanaJF!!!
Nadhani wazima wa afya njema.
Poleni na harakati za kutafuta na maisha popote pale ulimwenguni Mwenyezi Mungu atusaidie,Ammyiin!!
Ujio wangu na kuja kuandika thread hii kwaajili ya kuja kuwaomba kidogo chochote ulichonacho nasumbuliwa na madonda mkono wangu wa kulia so umepata uvimbe na misuli imevimba kuanzia kisigino cha mkono,vidoleni pamoja kisigino cha mkono,nashindwa kuweka picha umu na hapa natumuia JamiiForums ya bure kwa kutumia Freebasic. So wanaJF nawaomba mchango wenu angalau nikatibiwe hospitalini maana naumivu ninayopata hata wakunisaidia hakuna.
Maumivu haya niliyapata kwa kuanguka chini ya simenti.Naomba msaada wenu mwenye maoni ushauri basi usisite nitajibu nikipata wasaa so nafanya hivi sababu maumivu ninayopata Mungu Mwenyewe ndo anajua na hapa naandikia mashoto.
Namba zangu:
0762022438
0693252332
Ahsanteni.
Mkuu kwanza pole kwa mtihani unaokukuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom